MPIGAPICHA WA MLIMANI TV AAGWA, AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI DAR
Picha ya marehemu Bw. Maximilian Ngobe, enzi za uhai wake. Mke wa marehemu (mwenye kilemba cheupe) akimuaga mumewe, Maximilian Ngobe. Ndugu na jamaa wa karibu wakimfariji…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qB*eEYpVu7Ncw1UE9CfhLubsaRzOcOBGDRYHAIPzBSjzDepHwD8YREH4dvUxqlfLWm79qtv5QR0XzXjUcKMip*VwjaM2LeCo/KITIME8.jpg?width=600)
MKE WA KITIME AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI DAR
Muonekano wa kaburi la marehemu Janeth Joan Kitime baada ya kuzikwa siku ya leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Mwanamuziki mkongwe, John Kitime akiweka maua katika kaburi la mke wake.…
10 years ago
Vijimambo05 Dec
MAREHEMU ELIAS ANTHONY MAPUNDA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/12.jpg)
10 years ago
Michuzi05 Dec
MARAEHEMU ELIAS ANTHONY MAPUNDA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/12.jpg)
Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda wakiwa wamesimama mbele ya jeneza la marehemu Anthony tayari kwa kiungia katika kanisa katoliki la Mtakatifu Matha Mikocheni kwa ajili ya misa maalum ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana Fullshangwe inampa pole Ndugu Nesto Mapunda pamoja na ndugu na jamaa kwa kuondokewa na ndugu yao mpendwa marehemu Elias Anthony Mapunda. Wao walimpenda lakini mungu amempenda zaidi Mungu...
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/12.jpg)
MAREHEMU ELIAS ANTHONY MAPUNDA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI
Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda wakiwa wamesimama mbele ya jeneza la marehemu Anthony tayari kwa kiungia katika kanisa katoliki la Mtakatifu Matha Mikocheni kwa ajili ya misa maalum ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana Fullshangwe inampa pole Ndugu Nesto Mapunda pamoja na ndugu na jamaa kwa kuondokewa na ndugu yao mpendwa marehemu Elias...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W8k9GghxLBt--N07C*VdFIIeZWVBelfjQmR9mc5JaLd4cvqTW8LhAc-knC*JSGMOtC-sNF75jXbpLtmcyP9SJcmyKE4uFwDM/1mazishiyakarenga2.jpg?width=650)
SHEM KARENGA AZIKWA MAKABURI YA KISUTU, DAR
Wananchi wakiusitiri mwili wa marehemu Shem Karenga katika makaburi ya Kisutu, Dar jioni hii. HATIMAYE mwanamuziki nguli nchini aliyekuwa na umahiri wa kuimba na kucharaza gitaa la solo, Shem Ibrahim Karenga azikwa katika makaburi ya Kisutu, Dar jioni hii. Marehemu Karenga alifariki dunia jana katika Hospitali ya Amana, Dar alipokuwa akipatiwa matibabu. Mwenyezi Mungu Ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.… ...
10 years ago
GPLAMIGOLAS AZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR
Mwili wa marehemu, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ ukiwasili nyumbani kwao Mburahati leo jijini Dar es Salam. Mjane wa marehemu, Bi Modesta Emmanuel akiwa amezimia msibani.…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75owCBECvsE8fVgBV4ozNxG*RdTn6m7uks4YaD1sJUatt4pQz3*XCH7DXVjz6EB3L05FNrNVhZCWt7wh5TpGhmKX/MAZISHI.jpg?width=650)
PICHA YA KWANZA: MZEE SMALL AZIKWA MAKABURI YA SEGEREA, DAR
Mwili wa Mzee Small ukiwa kaburini. HATIMAYE mkongwe wa maigizo nchini, Mzee Small amezikwa katika makaburi ya Segerea, Dar ambapo mamia ya watu wamehudhuria maziko yake. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779)
10 years ago
CloudsFM23 Oct
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-E_z3nwNbALs/VUENl-ix1lI/AAAAAAAHUJ4/qogq_ebTgfY/s72-c/IMG-20150429-WA0077.jpg)
BRIGEDIA JENERALI ( MSTAAFU ) HASHIM MBITA AZIKWA MAKABURI YA KISUTU, JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-E_z3nwNbALs/VUENl-ix1lI/AAAAAAAHUJ4/qogq_ebTgfY/s1600/IMG-20150429-WA0077.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-7-H96lbLPGk/VUENkQVNjNI/AAAAAAAHUJo/Wp9n2hgCN48/s1600/IMG-20150429-WA0075.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ns5Zr-3mjbk/VUENj3WUZkI/AAAAAAAHUJk/I214oXTNxks/s1600/IMG-20150429-WA0076.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania