MIAKA 50 YA TFF YAWATUZA NYERERE, MKAPA MWINYI, SIMBA NA YANGA, STARS YA ZAMANI NDANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-UCAbEWcXY9M/VW2GxJ6XxMI/AAAAAAABKfc/iXCGKA63nWA/s72-c/nyerere13bc.jpg)
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa tuzo kwa kuwatunuku wanamichezo mbalimbali wakiwemo Marais wote wa awamu nne za uongozi wa Tanzania akiwemo baba wa taifa, marehemu Julius K Nyerere.
Uamuzi wa TFF kuwatuza watu hao wakiwemo waandishi wa habari, wachezaji wa zamani wa timu ya taifa, waandishi wa habari na wengineo ni kutambua mchambo wao katika maendeleo ya soka nchini wakati Fifa inatimiza miaka 50.
VIONGOZI WA KITAIFA:
1. Rais Msataafu Mwl. Julius K Nyerere
2. Rais Mstaafu Ali Hassan...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EM0Smvgtzvk/VOnVvhZ7X3I/AAAAAAAHFNY/bPBVubypRFg/s72-c/unnamed%2B(40).jpg)
DRFA,YAMLILIA KIUNGO WA ZAMANI WA SIMBA NA TAIFA STARS-CHRISTOPHER ALEX
![](http://2.bp.blogspot.com/-EM0Smvgtzvk/VOnVvhZ7X3I/AAAAAAAHFNY/bPBVubypRFg/s1600/unnamed%2B(40).jpg)
Mwenyekiti wa DRFA,Almas Kasongo,amemuelezea marehemu Christopher kuwa ni mchezaji aliyevuma enzi za uhai wake na kuiletea heshima kubwa klabu yake ya Simba na Taifa Kwa ujumla,pale walipofanikiwa kuisukumiza nje ya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-FfpVuP71URk/VKJWGqzRHDI/AAAAAAAG6jc/RIppKO6K2_g/s72-c/PSPF1.png)
PSPF KUWAKUTANISHA WACHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA SIMBA
![](http://1.bp.blogspot.com/-FfpVuP71URk/VKJWGqzRHDI/AAAAAAAG6jc/RIppKO6K2_g/s1600/PSPF1.png)
Mchezo huo unatarajiwa kufanyika tarehe 1 Januari 2015 katika uwanja wa chuo cha Bandari, Tandika jijini Dar es Salaam, kiingilio kitakuwa bure ikiwa ni zawadi ya mwaka mpya kutoka PSPF.
Katika mchezo huo baadhi ya wachezaji wa Simba wanaotarajiwa kushuka uwanjani ni Thomas Kipese, George Lucas, Bita John, George Masatu, Mustafa Hoza,...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-705-KEaj3Hc/U76czNPcX_I/AAAAAAAF0f0/nQ8cfxBDHv0/s72-c/MAYAI+NA+MOSHA.jpg)
matapeli walamba email ya Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Ally Mayay Tembele
![](http://4.bp.blogspot.com/-705-KEaj3Hc/U76czNPcX_I/AAAAAAAF0f0/nQ8cfxBDHv0/s1600/MAYAI+NA+MOSHA.jpg)
Mbaya zaidi, katika email yake hiyo Ally Mayay Tembele aliwahi kuambatanisha nyaraka nyeti kadhaa ikiwemo pasipoti ambazo wezi hao wanazitumia kama alama...
10 years ago
Mwananchi15 Jun
TFF yazitega Yanga, Simba
10 years ago
Mwananchi26 Sep
TFF yazikingia kifua Simba, Yanga
10 years ago
TheCitizen26 Sep
TFF alters date for Simba, Yanga match
9 years ago
Mwananchi02 Sep
TFF sasa yavuna mamilioni Azam, Yanga, Simba kiulani
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-DKhnXXoplRI/U1Ed3WbBZ-I/AAAAAAAFbsE/FFyW0klRq7Y/s72-c/download+(1).jpg)
ANGALIZO TOKA TFF - KIINGILIO CHA CHINI YANGA vs SIMBA NI 7,000/-
![](http://2.bp.blogspot.com/-DKhnXXoplRI/U1Ed3WbBZ-I/AAAAAAAFbsE/FFyW0klRq7Y/s1600/download+(1).jpg)
Taarifa yetu tuliyotuma hivi punde ilionesha kiingilio cha chini mechi ya Yanga na Simba ni sh. 5,000.
Usahihi ni kuwa kiingilio hicho ni sh. 7,000 kama kinavyooneshwa kwenye tiketi.