Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANGALIZO TOKA TFF - KIINGILIO CHA CHINI YANGA vs SIMBA NI 7,000/-


Taarifa yetu tuliyotuma hivi punde ilionesha kiingilio cha chini mechi ya Yanga na Simba ni sh. 5,000.
 Usahihi ni kuwa kiingilio hicho ni sh. 7,000 kama kinavyooneshwa kwenye tiketi.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HABARI TOKA TFF: KESHO YANGA NA SIMBA KIINGILIO KUANZIA BUKU SABA

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom inayowakutanisha watani wa jadi kati ya Simba SC dhidi ya Young Africans itachezwa kesho katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuanzia majira ya saa 10 kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki.Milango ya uwanja wa Taifa itafunguliwa saa 5 kamili asubuhi ili kutoa nafasi kwa wapenzi, wadau na washabiki kuanza kuingia mapema uwanjani.Tiketi za mchezo huo zimeshaanza kuuzwa leo Ijumaa asubuhi katika vituo vya Karume – Ofisi za TFF, Buguruni – Oilcom, Dar Live...

 

10 years ago

GPL

KIINGILIO MECHI YA YANGA, SIMBA 7,000/-

Geilson Santana ‘Jaja’ akishangilia goli na wachezaji wenzake. Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 7,000. Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi akishangilia. Washabiki watakaolipa kiingilio hicho ni wale watakaokaa viti vya rangi ya bluu na kijani ambavyo jumla yake ni 36,693 katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Kiingilio cha Stars, Malawi ni Sh 5,000

Katika kile kinachoonekana kuwa  Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesikia kilio cha wadau  wa soka nchini,  jana limetangaza kiingilio cha Sh 5000 kwa ajili ya kutazama mchezo kati ya Taifa Stars na Malawi utakaochezwa kesho.

 

10 years ago

Michuzi

KIINGILIO MECHI YA SIMBA NA YANGA BUKU SABA

Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 7,000.
Washabiki watakaolipa kiingilio hicho ni wale watakaokaa viti vya rangi ya bluu na kijani ambavyo jumla yake ni 36,693 katika uwanja huo wenye viti 57,558. Viingilio vingine ni sh. 10,000 kwa viti vya rangi ya chungwa, sh. 20,000 kwa VIP B na C wakati VIP A itakuwa sh. 30,000.
Tiketi zitakazotumika kwenye mechi hiyo ni za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mshahara kima cha chini 720,000/-

SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limependekeza mshahara wa kima cha chini uwe sh  720,000. TUCTA imekuja na pendekezo hilo huku kukiwa na taarifa kwamba serikali imepandisha kiinua mgongo...

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yazitega Yanga, Simba

Ukimya wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kuhusu idadi ya wachezaji wa kigeni umenazidi kuziwaweka mtegoni klabu za Yanga na , Simba.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yazikingia kifua Simba, Yanga

>Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limezikingia ‘kifua’  Simba na Yanga na kueleza kuwa haliwezi kwa sasa kuzinyang’anya pointi kwa kuchezesha wachezaji wasio na vibali vya kufanya kazi  nchini.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Simba 7,000/-

SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa watani wa jadi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania utakaochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo kiingilio cha chini kitakuwa ni Sh 7,000.

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA DAY 2015 SIMBA KUCHEZA NA AFC LEOPARDS, KIINGILIO BURE

Rais wa Simba, Evans Aveva akimkabidhi kadi mpya ya uanachama wa Simba msanii wa Bongo Move, Yvonne Cherrie 'Monalisa'  wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula.  (Picha na Francis Dande)Rais wa Simba, Evans Aveva akimkabidhi kadi mpya ya uanachama wa Simba msanii wa Bongo Move, Jeniffer Kyaka 'Odama'  wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani