TFF yazikingia kifua Simba, Yanga
>Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limezikingia ‘kifua’ Simba na Yanga na kueleza kuwa haliwezi kwa sasa kuzinyang’anya pointi kwa kuchezesha wachezaji wasio na vibali vya kufanya kazi nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Jun
TFF yazitega Yanga, Simba
Ukimya wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kuhusu idadi ya wachezaji wa kigeni umenazidi kuziwaweka mtegoni klabu za Yanga na , Simba.
10 years ago
TheCitizen26 Sep
TFF alters date for Simba, Yanga match
Local soccer fans will have to wait a bit longer before witnessing this season’s Premier League match between the country’s football heavyweights Simba and Young Africans, it has been revealed.
9 years ago
Mwananchi02 Sep
TFF sasa yavuna mamilioni Azam, Yanga, Simba kiulani
Ni dhahiri Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) litavuna Sh118.1milioni msimu huu kutoka katika klabu sita zenye wachezaji wa kigeni, lakini fedha hizo zinaonekana kuwa mtego na vita baina ya klabu na shirikisho hilo.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-DKhnXXoplRI/U1Ed3WbBZ-I/AAAAAAAFbsE/FFyW0klRq7Y/s72-c/download+(1).jpg)
ANGALIZO TOKA TFF - KIINGILIO CHA CHINI YANGA vs SIMBA NI 7,000/-
![](http://2.bp.blogspot.com/-DKhnXXoplRI/U1Ed3WbBZ-I/AAAAAAAFbsE/FFyW0klRq7Y/s1600/download+(1).jpg)
Taarifa yetu tuliyotuma hivi punde ilionesha kiingilio cha chini mechi ya Yanga na Simba ni sh. 5,000.
Usahihi ni kuwa kiingilio hicho ni sh. 7,000 kama kinavyooneshwa kwenye tiketi.
10 years ago
Michuzi15 Oct
BONIFACE WAMBURA WA TFF AONGELEA MAANDALZI YA MECHI YA WATANI WA JADI YANGA NA SIMBA
Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 7,000. Washabiki watakaolipa kiingilio hicho ni wale watakaokaa viti vya rangi ya bluu na kijani ambavyo jumla yake ni 36,693 katika uwanja huo wenye viti 57,558. Viingilio vingine ni sh. 10,000 kwa viti vya rangi ya chungwa, sh. 20,000 kwa VIP B na C wakati VIP A itakuwa sh. 30,000. Tiketi zitakazotumika kwenye mechi hiyo...
9 years ago
Michuzi25 Sep
HABARI TOKA TFF: KESHO YANGA NA SIMBA KIINGILIO KUANZIA BUKU SABA
![](http://tff.or.tz/images/derby.png)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-UCAbEWcXY9M/VW2GxJ6XxMI/AAAAAAABKfc/iXCGKA63nWA/s72-c/nyerere13bc.jpg)
MIAKA 50 YA TFF YAWATUZA NYERERE, MKAPA MWINYI, SIMBA NA YANGA, STARS YA ZAMANI NDANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-UCAbEWcXY9M/VW2GxJ6XxMI/AAAAAAABKfc/iXCGKA63nWA/s640/nyerere13bc.jpg)
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa tuzo kwa kuwatunuku wanamichezo mbalimbali wakiwemo Marais wote wa awamu nne za uongozi wa Tanzania akiwemo baba wa taifa, marehemu Julius K Nyerere.
Uamuzi wa TFF kuwatuza watu hao wakiwemo waandishi wa habari, wachezaji wa zamani wa timu ya taifa, waandishi wa habari na wengineo ni kutambua mchambo wao katika maendeleo ya soka nchini wakati Fifa inatimiza miaka 50.
VIONGOZI WA KITAIFA:
1. Rais Msataafu Mwl. Julius K Nyerere
2. Rais Mstaafu Ali Hassan...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8YwVf5QdBWU/VA4VlweaehI/AAAAAAAGiJc/tSQgL92LDkA/s72-c/download.jpg)
sakata la emmanuel Okwi kusajiliwa na simba: Yanga kukata rufaa fifa kupinga maamuzi ya tff
![](http://2.bp.blogspot.com/-8YwVf5QdBWU/VA4VlweaehI/AAAAAAAGiJc/tSQgL92LDkA/s1600/download.jpg)
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema utapinga maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji kuhusiana na maamuzi yake ya kumtangaza mchezaji wake, Emmanuel Okwi kuwa huru.Sam Mapande amesema kuwa hawajaridhishwa na maamuzi hayo ambayo yanakinzana na shitaka zima la mchezaji huyo. Mapande amesema kuwa kamati ya TFF imeamua sakata la Okwi kinyume na malalamiko yao kwani hakukuwa na lalamiko la...
10 years ago
Vijimambo24 Dec
Mkwasa: Yanga tembeeni kifua mbele.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/maswa-24Dec2014.jpg)
Kocha msaidizi wa Yanga, Boniface Mkwasa amewataka mashabiki wao kutembea kifua mbele kwa kuwa mafanikio yanakuja.Katika mkutano na waandishi wa habari kwenye ofisi za makao makuu ya Yanga jijini Dar es Salaam jana, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, Jerry Muro alisema Mkwasa amemhakikisha kikosi chao kiko vizuri kambini mjini Bagamoyo, Pwani kujiandaa kwa mechi inayofuata dhidi ya Azam FC.
"Tumewasiliana na kocha msaidizi (Mkwasa)...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania