Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkwasa: Yanga tembeeni kifua mbele.

Kocha msaidizi wa Yanga, Boniface Mkwasa.
Kocha msaidizi wa Yanga, Boniface Mkwasa amewataka mashabiki wao kutembea kifua mbele kwa kuwa mafanikio yanakuja.Katika mkutano na waandishi wa habari kwenye ofisi za makao makuu ya Yanga jijini Dar es Salaam jana, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, Jerry Muro alisema Mkwasa amemhakikisha kikosi chao kiko vizuri kambini mjini Bagamoyo, Pwani kujiandaa kwa mechi inayofuata dhidi ya Azam FC.
"Tumewasiliana na kocha msaidizi (Mkwasa)...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

GAMBO WENYEVITI WA MITAA VIJIJI TEMBEENI KIFUA MBELE KWA KUJIAMINI

Na Ahmed Mahmoud ArushaViongozi wa mitaa,vijiji na kata fanyenikazi kwa kujiamini bila woga kwa kuwa utaratibu wa Serikali unaanzia ngazi hiyo ili muweze kutatua na kushughulika na shida za wananchi.
Aidha Mkoa wa Arusha unaweza kudhibiti vitendo vya kiuhalifu kwa raia iwapo viongozi kuanzia ngazi ya mtaa wataweza kuwajibika kwa nafasi zao kutekeleza majukumu ya kulinda usalama wa maeneo yao kwa kufichua wahalifu na vitendo vya kihalifu.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli: Nendeni vituoni kifua mbele

MGOMBEA urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amewataka wananchi hasa wanawake, vijana na wazee kutotishika na maneno ya kuwazuia wasiende kumpigia kura na kuwataka waende vituoni kifua mbele, kumchagua kuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima wa Pareto waanza kutembea kifua mbele

>Kampuni ya Pareto Tanzania (PCT), imewalipa zaidi ya Sh4.4 bilioni  wakulima wa pareto katika mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Arusha kuanzia Agosti mwaka jana hadi Machi mwaka huu baada ya kununua tani 2,300 za zao hilo, imeelezwa.

 

11 years ago

Habarileo

Watanzania watembea kifua mbele kwa tuzo ya Kikwete

TUZO ya uongozi bora aliyotunukiwa Rais Jakaya Kikwete jijini hapa Jumatano iliyopita na jarida moja la kimataifa la African Leadership imeelezwa kuwa imeliongezea nuru bara la Afrika na Tanzania kwa kutambua uongozi wake mahiri katika utawala na maendeleo.

 

10 years ago

Vijimambo

TAKUKURU YAMKINGIA KIFUA MKURUGENZI WA MANISPAA YA TABORA MBELE YA BARAZA LA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA

 Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora, Sipora Liana.Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora, Sipora Liana, akijieleza mbele ya Baraza la  Maadili kwa Viongozi wa Umma Dar es Salaam leo, alipofikishwa kwa tuhuma za kukiuka maadili ya viongozi wa umma alipokuwa Halmshauri ya Manispaa ya Mkuranga mkoani Pwani kabla ya kuhamishiwa Tabora.
Jaji Msumi (katikati), akiwa na wenzake akisikiliza shauri hilo.


Na Dotto Mwaibale
KAMANDA wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Wilaya ya Mkuranga, Damas...

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yazikingia kifua Simba, Yanga

>Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limezikingia ‘kifua’  Simba na Yanga na kueleza kuwa haliwezi kwa sasa kuzinyang’anya pointi kwa kuchezesha wachezaji wasio na vibali vya kufanya kazi  nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkwasa achimba mkwara Yanga

>Kocha msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa jana alianza kazi rasmi ya kukinoa kikosi hicho na kusisitiza kuwa mchezaji asiyekuwa na nidhamu hana nafasi katika timu yake.

 

9 years ago

Habarileo

Mkwasa alia na Yanga, Azam FC

KUSHINDWA kuwepo kambini kwa wachezaji wa Yanga na Azam FC kumeharibu ratiba ya maandalizi ya timu ya taifa, Taifa Stars, inayojiandaa kwa mchezo wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Nigeria.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkwasa akabidhiwa Yanga rasmi

Kocha mpya msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa na mwenzake wa makipa, Juma Pondamali watatambulishwa kwa wachezaji leo asubuhi kwenye Uwanja wa Kijitonyama (Bora), Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani