Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli: Nendeni vituoni kifua mbele

MGOMBEA urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amewataka wananchi hasa wanawake, vijana na wazee kutotishika na maneno ya kuwazuia wasiende kumpigia kura na kuwataka waende vituoni kifua mbele, kumchagua kuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mkwasa: Yanga tembeeni kifua mbele.

Kocha msaidizi wa Yanga, Boniface Mkwasa.
Kocha msaidizi wa Yanga, Boniface Mkwasa amewataka mashabiki wao kutembea kifua mbele kwa kuwa mafanikio yanakuja.Katika mkutano na waandishi wa habari kwenye ofisi za makao makuu ya Yanga jijini Dar es Salaam jana, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, Jerry Muro alisema Mkwasa amemhakikisha kikosi chao kiko vizuri kambini mjini Bagamoyo, Pwani kujiandaa kwa mechi inayofuata dhidi ya Azam FC.
"Tumewasiliana na kocha msaidizi (Mkwasa)...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima wa Pareto waanza kutembea kifua mbele

>Kampuni ya Pareto Tanzania (PCT), imewalipa zaidi ya Sh4.4 bilioni  wakulima wa pareto katika mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Arusha kuanzia Agosti mwaka jana hadi Machi mwaka huu baada ya kununua tani 2,300 za zao hilo, imeelezwa.

 

11 years ago

Habarileo

Watanzania watembea kifua mbele kwa tuzo ya Kikwete

TUZO ya uongozi bora aliyotunukiwa Rais Jakaya Kikwete jijini hapa Jumatano iliyopita na jarida moja la kimataifa la African Leadership imeelezwa kuwa imeliongezea nuru bara la Afrika na Tanzania kwa kutambua uongozi wake mahiri katika utawala na maendeleo.

 

5 years ago

Michuzi

GAMBO WENYEVITI WA MITAA VIJIJI TEMBEENI KIFUA MBELE KWA KUJIAMINI

Na Ahmed Mahmoud ArushaViongozi wa mitaa,vijiji na kata fanyenikazi kwa kujiamini bila woga kwa kuwa utaratibu wa Serikali unaanzia ngazi hiyo ili muweze kutatua na kushughulika na shida za wananchi.
Aidha Mkoa wa Arusha unaweza kudhibiti vitendo vya kiuhalifu kwa raia iwapo viongozi kuanzia ngazi ya mtaa wataweza kuwajibika kwa nafasi zao kutekeleza majukumu ya kulinda usalama wa maeneo yao kwa kufichua wahalifu na vitendo vya kihalifu.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo...

 

10 years ago

Vijimambo

TAKUKURU YAMKINGIA KIFUA MKURUGENZI WA MANISPAA YA TABORA MBELE YA BARAZA LA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA

 Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora, Sipora Liana.Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora, Sipora Liana, akijieleza mbele ya Baraza la  Maadili kwa Viongozi wa Umma Dar es Salaam leo, alipofikishwa kwa tuhuma za kukiuka maadili ya viongozi wa umma alipokuwa Halmshauri ya Manispaa ya Mkuranga mkoani Pwani kabla ya kuhamishiwa Tabora.
Jaji Msumi (katikati), akiwa na wenzake akisikiliza shauri hilo.


Na Dotto Mwaibale
KAMANDA wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Wilaya ya Mkuranga, Damas...

 

9 years ago

GPL

BIBI AANGUA KILIO MBELE YA MAGUFULI!

Richard Bukos aliyekuwa Manyara BIBI mmoja anayeonekana kula chumvi nyingi, Jumapili iliyopita alijikuta akiangua kilio baada ya kuzuiwa kuzungumza na Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara, lakini alimsifia kiongozi huyo na kudai ndiye anayefaa kuiongoza Tanzania baada ya Rais Jakaya Kikwete. Bibi huyo akilia. Katika tukio hilo, bibi huyo akiwa nyuma...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt Magufuli aiteka makambako, wagombea wa Mafinga wa-Magufulikwa mbele yake

 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia gharika ya wananchi wa Makambako mkoani Iringa ambako alipita leo kumalizia viporo vya mkoa huo kwenye kampeni zake. Wananchi kwa maelfu wakimsikiliza Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia huko  Makambako mkoani Iringa ambako alipita leo kumalizia viporo vya mkoa huo kwenye kampeni zake.
 Wagombea wa nafasi mbalimbali wa Mafinga wali-Magufulika mbele ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John...

 

9 years ago

Vijimambo

DKT MAGUFULI AITEKA MAKAMBAKO, WAGOMBEA WA MAFINGA WA-MAGUFULIKA MBELE YAKE

 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia gharika ya wananchi wa Makambako mkoani Iringa ambako alipita leo kumalizia viporo vya mkoa huo kwenye kampeni zake. Wananchi kwa maelfu wakimsikiliza Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia huko  Makambako mkoani Iringa ambako alipita leo kumalizia viporo vya mkoa huo kwenye kampeni zake.

 Wagombea wa nafasi mbalimbali wa Mafinga wali-Magufulika mbele ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John...

 

5 years ago

Bongo5

Juventus na Monaco mbele kwa mbele UEFA, Barca na Dortmund nje

Timu za Juventus na Monaco zimefanikiwa kufuzu katika hatua ya nusu fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya (Uefa) usiku wa Jumatano huku zikiungana na Real Madrid na Atletico Madrid ambazo zilifuzu katika hatua hiyo siku ya Jumanne.

Juventus imefanikiwa kuingia katika hatua hiyo kwa kuitoa Barcelona ya Hispania kwa jumla ya mabao 3-0 ambayo walishinda katika mchezo wao wa kwanza wiki iliyopita huku katika mchezo wa jana wakitoka sare ya 0-0.

Nao Monaco wametinga hatua hiyo kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani