Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PSPF KUWAKUTANISHA WACHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA SIMBA

MFUKO wa Pensheni wa PSPF umedhamini mchezo wa kirafki utakaowakutanisha wachezaji waliowahi kuwika katika timu kongwe nchini Simba na Yanga.
Mchezo huo unatarajiwa kufanyika tarehe 1 Januari 2015 katika uwanja wa chuo cha Bandari, Tandika jijini Dar es Salaam, kiingilio kitakuwa bure ikiwa ni zawadi ya mwaka mpya kutoka PSPF.
Katika mchezo huo baadhi ya wachezaji wa Simba wanaotarajiwa kushuka uwanjani ni Thomas Kipese, George Lucas, Bita John, George Masatu, Mustafa Hoza,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Simba kuwalipa wachezaji wake wa zamani?

Klabu ya Simba imetakiwa kuwalipa wachezaji wake wa zamani akiwemo mchezaji wa kulipwa, Amisi Tambwe kwa kuvunja mikataba yao .

 

10 years ago

Mwananchi

Tambo zatawala wachezaji wa Simba, Yanga

Yanga na Simba zitapambana Oktoba 18 ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAIZAMISHA SIMBA 4-3 KATIKA MCHEZO WA MWAKA MPYA ULIOANDALIWA NA PSPF

TIMU ya Yanga veterani imeibuka mshindi wa mchezo wa kirafiki dhidi ya Simba veterani ulioandaliwa na PSPF, Yanga iliibuka na ushindi wa bao 4-3 na kubeba kombe. Mchezo huo ulifanyika tarehe 1 Januari 2015 katika uwanja wa chuo cha Bandari, Tandika jijini Dar es Salaam.
Hadi dakika tisini zinakamilika timu hizo zilitoka sare ya bao moja kwa moja, mabao hayo yaifungwa na Omari kapilima kwa upande wa Yanga na Barnabas Sekolo kwa upande wa Simba.
Bingwa wa mchezo huo alipatikana kwa njia ya...

 

11 years ago

GPL

RIPOTI MAALUM:WAGANGA WA KIENYEJI WANAVYOFANYA KAZI NA WACHEZAJI YANGA, SIMBA

Kuku wawili, mweusi kuzima nyota ya mpinzani, nyeupe kujing'arisha. Saleh Ally na Sweetbert Lukonge
SUALA la ushirikina katika soka limekuwa likizungumzwa kama hadithi za kufikirika, wako ambao wanasema mambo hayo hayatokei, lakini wako ambao wamekuwa wakithibitisha kuwa hali hiyo inatokea.…

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba zagawa wachezaji kwa klabu 11 za Ligi Kuu Bara

>Mbeya City, Prisons na Stand United ndizo timu pekee ambazo hazina mchezaji yeyote aliyewahi kucheza Yanga au Simba katika vikosi vyao msimu huu.

 

10 years ago

Vijimambo

MIAKA 50 YA TFF YAWATUZA NYERERE, MKAPA MWINYI, SIMBA NA YANGA, STARS YA ZAMANI NDANI


Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa tuzo kwa kuwatunuku wanamichezo mbalimbali wakiwemo Marais wote wa awamu nne za uongozi wa Tanzania akiwemo baba wa taifa, marehemu Julius K Nyerere.
Uamuzi wa TFF kuwatuza watu hao wakiwemo waandishi wa habari, wachezaji wa zamani wa timu ya taifa, waandishi wa habari na wengineo ni kutambua mchambo wao katika maendeleo ya soka nchini wakati Fifa inatimiza miaka 50.

VIONGOZI WA KITAIFA:
1. Rais Msataafu Mwl. Julius K Nyerere
2. Rais Mstaafu Ali Hassan...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA VETERANI YATWAA KOMBE LA PSPF BAADA YA KUINYUKA SIMBA VETERANI NA

Nahodha wa timu ya maveterani wa Yanga, Salvatory Edward, akipokea kombe kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, baada ya kuinyuka Simba Veterani kwa penati 5-4 kufuatia sare ya mabao 1-1 katika pambano la bonanza lililodhaminiwa na mfuko huo na kupigwa kwenye uwanja wa Bandari Tandika, wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam leo jioni Alhamisi Januari 1, 2015. Kufuatia ushindi huo Yanga veterani pia walijinyakulia kitita cha shilingi milioni 1, wakati watani wao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani