Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba kuwalipa wachezaji wake wa zamani?

Klabu ya Simba imetakiwa kuwalipa wachezaji wake wa zamani akiwemo mchezaji wa kulipwa, Amisi Tambwe kwa kuvunja mikataba yao .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

PSPF KUWAKUTANISHA WACHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA SIMBA

MFUKO wa Pensheni wa PSPF umedhamini mchezo wa kirafki utakaowakutanisha wachezaji waliowahi kuwika katika timu kongwe nchini Simba na Yanga.
Mchezo huo unatarajiwa kufanyika tarehe 1 Januari 2015 katika uwanja wa chuo cha Bandari, Tandika jijini Dar es Salaam, kiingilio kitakuwa bure ikiwa ni zawadi ya mwaka mpya kutoka PSPF.
Katika mchezo huo baadhi ya wachezaji wa Simba wanaotarajiwa kushuka uwanjani ni Thomas Kipese, George Lucas, Bita John, George Masatu, Mustafa Hoza,...

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa nini Simba inaingia migogoro na wachezaji wake?

>Kwa nini iwe Simba tu? Hilo ndilo swali ambalo wengi watakuwa wanajiuliza wakati klabu hiyo ikiwa kinara wa migogoro ya kimkataba baina yake na wachezaji.

 

5 years ago

BBCSwahili

Thomas Thabane: Waziri Mkuu wa zamani wa Lesotho 'alilipa majambazi kumuua mke wake wa zamani''

Stakabadhi zilizowasilishwa mahakamani na polisi zanaelezea jinsi Thomas Thabane alivyohusika na mauaji hayo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Samsung kuwalipa fidia wafanyakazi wake

Kampuni kubwa duniani ya vifaa vye elektroniki Samsung, inasema kuwa itawalipa fidia wafanyakazi wake waliopatwa na Saratani wakifanya kazi na kampuni hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

Wachezaji wa zamani wa Barcelona waanza kutua nchini

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona Patrick Kluivert akiwaongoza wachezaji wenzake akiwepo Simao Sabrosa muda mfupi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Mchezaji Luis Garcia(kulia) akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro .kushoto ni mratibu wa safari ya wachezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona Royco Garcia.Wachezaji wa Barcelona wakielekea upande wa watu mashuhuri katika uwanja wa ndege wa Kiamtaifa wa Kilimanjaro...

 

10 years ago

Dewji Blog

DC Makonda kutumia sehemu ya mshahara wake kuwalipa wanasheria

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam asubuhi, wakati akitoa taarifa ya utatuzi wa migogoro ya ardhi katika wilaya hiyo.

Wanahabari wakiwa katika mkutano na Bwana Makonda.

Waandishi wa habari kutoka vyombombalimbali wakichukua taarifa hiyo.

Dotto Mwaibale

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema atachukua sehemu ya mshahara wake kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Shein akutana na wachezaji wa zamani wa Timu ya Barcelona Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohammed Shein akipokabidhiwa Jezi ya Bacelona namba 14 ya mchezaji wa zamani, Johan Cruyff (kushoto)wakati wa hafla fupi ya chakula jioni iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar timu hiyo ilipokutana na Rais.[Picha na Ikulu)

 

11 years ago

Michuzi

Kenny Mwaisabula kuandaa tamasha la mpira wa miguu la wachezaji wa zamani

Kocha Kennedy Mwaisabula kupitia kampuni yake ya Kenny Mwaisabula Enterprises anaandaa tamasha kubwa la wachezaji wa zamani linalotarajiwa kufanyika 14 Oct, 2014 hapa Dar Es Salaam, wachezaji 300 wanatarajiwa kushiriki na baadae kutoa wachezaji 25 bora watakoshiriki mashindano ya wakongwe ya Afrika Mashariki. Picha kulia ni Kenny Mwaisabula akimshukuru Ndg. Phares Magesa (kushoto) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM ambaye ni mdau wa michezo kwa kukubali kuwa mmoja wa wawezeshaji ...

 

10 years ago

Vijimambo

WACHEZAJI WA ZAMANI WA BARCELONA WAKUTANA NA RAIS SHEIN IKULU ZANZIBAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe Dk Mwinyihaji Makame akisalimiana na Nyota wa timu ya Barcelona na Rais wa Heshima wa Timu hiyo Johan Cruyff, walipowasili Ikulu Zanzibar kusalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, ni mwenyeji wao aliowaalika kutembelea Zanzibar kujionea vipaji vya wachezaji wa timu ndogo za Zanzibar.Wachezaji Nyota wa Zamani wa Timu ya Barcelona wakisalimiana na Waziri Mwinyihaji walipowasili Ikulu Zanzibar kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani