Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kenny Mwaisabula kuandaa tamasha la mpira wa miguu la wachezaji wa zamani

Kocha Kennedy Mwaisabula kupitia kampuni yake ya Kenny Mwaisabula Enterprises anaandaa tamasha kubwa la wachezaji wa zamani linalotarajiwa kufanyika 14 Oct, 2014 hapa Dar Es Salaam, wachezaji 300 wanatarajiwa kushiriki na baadae kutoa wachezaji 25 bora watakoshiriki mashindano ya wakongwe ya Afrika Mashariki. Picha kulia ni Kenny Mwaisabula akimshukuru Ndg. Phares Magesa (kushoto) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM ambaye ni mdau wa michezo kwa kukubali kuwa mmoja wa wawezeshaji ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ZIFAHAMU SHERIA 17 ZA MPIRA WA MIGUU .


1. UWANJA


Kwa kawaida uwanja wa mpira Wa miguu huwa na Urefu Wa mita 100  –  120  na Upana Wa mita  50 – 60 . Kwa kawaida Uwanja Wa mpira Wa miguu Una alama za mistari ambazo ni pamoja na


– Mstari mrefu pembeni mwa Uwanja Unaoashiria mwisho Wa Uwanja .

 – Mstari mrefu Wa Katikati Unaogawa Uwanja katika pande 2 Zilizolingana .katikati ya Uwanja kuna mduara wenye nusu kipenyo cha mita 9.15.

 – Mstari mrefu Upande Wa goli Unaoashiria mwisho Wa Uwanja upande Wa goli .

 – Pia kuna nusu duara katika...

 

10 years ago

Michuzi

DC MAVUNDE AZINDUA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU MPWAPWA

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Adv. Anthon Mavunde akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa Miguu kuwania Kombe la DC na kushirikisha timu 24 kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo jana.Timu za Mpwapwa Academy na Kota FC zikizubiri kukaguliwa na mgeni rasmi. Katika mchezo huo wa ufunguzi Kota FC wqalishinda goli 3-2.
DC akikaribishwa kusalimiana na wachezaji.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

Leo jumapili tarehe 24, Mei 2015 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF imeketi katika ukumbi uliopo makao makuu ya Shirikisho uwanja wa Karume.
Kamati ya Utendaji imepitia masuala mbalimbali na kutoa maamuzi yafuatayo:
CLUB LICENCING (Leseni za vilabu)Kamati ya Utendaji imeiagiza sekretarieti ivisisitize vilabu vya Ligi Kuu umuhimu wa kukamilisha maombi yao ya ushiriki wa ligi kuu kwa msimu wa 2015/16 kwa kuwasilisha fomu za maombi ya Leseni za vilabu TFF. Klabu ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)


TAARIFA YA KAMATI YA UTENDAJIKikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichokutana leo kimepitia na kutoa maamuzi yafuatayo:
(i)           Kila mkoa utakua na kituo cha kukuza na kuendeleza vipaji vya watoto (Regional Sports Centre). Mapato ya mchezo wa Ngao ya Hisani msimu huu yatatumika kuagiza kontena la vifaa (mipira size 3, 4, bips na cones) ambavyo vitasambazwa katika vituo vyote vya michezo vya mikoa.
(ii)         Ubovu wa viwanja – Kamati ya Utendaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani