Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachezaji wa zamani wa Barcelona waanza kutua nchini

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona Patrick Kluivert akiwaongoza wachezaji wenzake akiwepo Simao Sabrosa muda mfupi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Mchezaji Luis Garcia(kulia) akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro .kushoto ni mratibu wa safari ya wachezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona Royco Garcia.Wachezaji wa Barcelona wakielekea upande wa watu mashuhuri katika uwanja wa ndege wa Kiamtaifa wa Kilimanjaro...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Dk Shein akutana na wachezaji wa zamani wa Timu ya Barcelona Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohammed Shein akipokabidhiwa Jezi ya Bacelona namba 14 ya mchezaji wa zamani, Johan Cruyff (kushoto)wakati wa hafla fupi ya chakula jioni iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar timu hiyo ilipokutana na Rais.[Picha na Ikulu)

 

10 years ago

Vijimambo

WACHEZAJI WA ZAMANI WA BARCELONA WAKUTANA NA RAIS SHEIN IKULU ZANZIBAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe Dk Mwinyihaji Makame akisalimiana na Nyota wa timu ya Barcelona na Rais wa Heshima wa Timu hiyo Johan Cruyff, walipowasili Ikulu Zanzibar kusalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, ni mwenyeji wao aliowaalika kutembelea Zanzibar kujionea vipaji vya wachezaji wa timu ndogo za Zanzibar.Wachezaji Nyota wa Zamani wa Timu ya Barcelona wakisalimiana na Waziri Mwinyihaji walipowasili Ikulu Zanzibar kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Barcelona kutua nchini Desemba

Nyota wa zamani wa Barcelona, Patrick Kluivert, Rivaldo na Deco wanatarajiwa kukiongoza kikosi cha wachezaji wa zamani wa Barcelona kwa ajili ya kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya kikosi cha wakongwe wa soka nchini mwezi Desemba.

 

10 years ago

Michuzi

MAGWIJI WA FC BARCELONA KUTUA NCHINI KUPAMBANA NA NYOTA WA TANZANIA

 Mshambuliaji wa zamani wa FC Barcelona na timu ya Taifa ya Uholanzi Patrick Kluivert alizungumzia ujio wa magwiji FC Barcelona nchini mwezi wa tatu mbele ya waandishi wa habari kwenye mgahawa wa Sports Lounge uliopo jijini Dar Es Salaam ,Pembeni ya Kluivert ni mwenyekiti wa DRFA Ndugu Almas Kasongo. Magwiji hao wa Barcelona wanataraji kucheza na wachezaji nyota wa Tanzania kwenye uwanja wa Taifa mnamo mwezi wa machi tarehe 28. Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Dar Es Salaam,Almasi...

 

10 years ago

Michuzi

MAGWIJI WA FC BARCELONA KUTUA NCHINI KUPAMBAMBANA NA NYOTA WA TANZANIA MACHI 28

 Mshambuliaji wa zamani wa FC Barcelona na timu ya Taifa ya Uholanzi Patrick Kluivert alizungumzia ujio wa magwiji FC Barcelona nchini mwezi wa tatu mbele ya waandishi wa habari kwenye mgahawa wa Sports Lounge uliopo jijini Dar Es Salaam ,Pembeni ya Kluivert ni mwenyekiti wa DRFA Ndugu Almas Kasongo. Magwiji hao wa Barcelona wanataraji kucheza na wachezaji nyota wa Tanzania kwenye uwanja wa Taifa mnamo mwezi wa machi tarehe 28. Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Dar Es Salaam,Almasi...

 

10 years ago

Michuzi

MAGWIJI WA KLABU YA BARCELONA WAANZA KUWASILI NCHINI

Nguli wa soka wa timu ya taifa ,Uholanzi na vilabu vya Ajax na Barcelona,Johan Cruyff (Kulia) akiongozana na mwenyeji wake,Rayco Garcia mara baada ya kuwasili katika uwanja a ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)

Dixon Busagaga (Kushoto) wa Globu ya Jamii na Busagaga's Orijino Blog akiwa katika picha ya pamoja na waratibu wa ziara hiyo ya magwiji wa Barcelona.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI KAMILI

 

10 years ago

Mwananchi

Wachezaji huru wanaoweza kutua England

Dirisha la usajili wa wachezaji limefungwa barani Ulaya hadi Januari mwakani, lakini habari njema ni kwa wachezaji 10 ambao wanaweza kusaini kwenye klabu za Ligi Kuu England wakiwa wachezaji huru.

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU YAWACHEZAJI WA ZAMANI WA BARCELONA WAWASILI ZANZIBAR

Rais wa Heshima wa Timu ya Barcelona Kocha Johan Cruyff, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar alipofika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.
Kikosi cha Wachezaji wa Zamani wa Timu ya Barcelona wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakitokea Arusha , wakiwa Zanzibar kwa Mualiko wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kutembelea Zanzibar kujionea Vivutio...

 

5 years ago

BBCSwahili

Wachezaji wa Barcelona wapunguziwa mishahara

Barcelona yapunguza mishahara kwa asilimia 70 ili kuchangia wafanyikazi wengine wasio wachezaji, kupata asilimia 100 ya mishahara yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani