Kapombe apanda ndege kwenda Ufaransa, ashushwa Nairobi, arudishwa Dar

Shomari Kapombe. Khadija Mngwai na Nicodemus Jonas SAKATA la Shomari Kapombe kukwama kwenda nchini Ufaransa alipokuwa akicheza soka la kulipwa linaashiria hali ni tete zaidi. Imeelezwa kuwa Kapombe ambaye alirejea nchini kuitumikia Taifa Stars, Desemba, mwaka jana, kisha kukwama kurudi Ufaransa, alipanda ndege kwa ajili ya kuelekea nchini humo lakini alipofika Nairobi nchini Kenya, akashushwa, kisha akarejeshwa Tanzania....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
LOWASSA APANDA DALADALA KWENDA GONGO LA MBOTO, DAR
11 years ago
GPL
Kufuru, ndege ya watu 150, Malkia wa Nyuki apanda peke yake
11 years ago
BBCSwahili27 Jul
Waathiriwa wa ndege kupelekwa Ufaransa
10 years ago
BBCSwahili31 Jul
Ufaransa kuchunguza mabaki ya ndege
10 years ago
BBCSwahili24 Mar
Ndege ya Ujerumani yaanguka nchini Ufaransa
9 years ago
BBCSwahili20 Dec
Tishio la 'Bomu' lalazimu ndege ya Ufaransa kutua Kenya
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Ndege ya Ufaransa yatua kwa dharura Mombasa kuhofia bomu
Ndege ya Air France ikiwa imetua
Mombasa, Kenya
Ndege kubwa ya abiria, Boeing 777 AF463, mali ya Shirika la Ndege la Ufaransa (Air France) iliyokuwa ikitokea Visiwa vya Mauritius kuelekea Uwanja wa Ndege wa Charles de Gaulle, Paris, Ufaransa, imelazimika kutua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Mombasa baada ya kuhofiwa kuwa ndani yake kulikuwa na bomu.
Taarifa kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, Jenerali Joseph Boinnet kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, imeeleza kuwa...
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Washukiwa wa bomu bandia ndege ya Air France wakamatwa Ufaransa
Watuthumiwa hao (kushoto) baada ya kukamatwa.
MAOFISA wa Polisi nchini Ufaransa wamewatia mbaroni abiria wawili wa ndege hiyo ambao ni mke na mme liokuwa abiria katika ndege ya Air France Boeing 777 nambari AF463 iliyolazimika kutua kwa dharura nchini Kenya hapo jana kufuatia tishio la bomu.
Duru zinasema kuwa wawili hao ambao majina yao bado hayawekwa hadharani walikamatwa punde baada ya kutua katika Uwanja wa Kimataifa wa Charles de Gaulle nchini Ufaransa.
Waliokamatwa ni ofisa mmoja...
10 years ago
StarTV30 Mar
Hali ya hewa kikwazo utafutaji miili ajali ya ndege Ufaransa.
Polisi nchini Ufaransa wameeleza kuwa hali mbaya ya hewa itakwamisha zoezi la utafutaji miili ya watu wapatao mia moja na hamsini katika eneo la ajali ya ndege na hivyo kuchukuwa siku kadhaa.
Siku ya jana ndege ya Ujerumani ilianguka katika eneo la milima ya Alps huko Ufaransa na kuua watu wote wapatao mia moja na hamsini waliokuwemo.
Waathirika wa ajali hiyo wanatoka nchi mbali mbali ambapo arobaini na tano ni wahispania huku zaidi ya sitini wakiwa ni wajerumani.
Kumi na sita, kati yao...