Kufuru, ndege ya watu 150, Malkia wa Nyuki apanda peke yake

Mlezi wa Simba, Rahma Al Kharoosi 'Malkia wa Nyuki'. MLEZI wa Simba, Rahma Al Kharoosi, ametua jijini Dar es Salaam akiwa kwenye ndege kubwa yenye uwezo wa kubeba watu 150, lakini yeye akiwa ndiye abiria pekee ndani ya ndege hiyo. Rahma, maarufu kama Malkia wa Nyuki, ametua na ndege hiyo aina ya Airbus 320 inayomilikiwa na Serikali ya Oman na anaitumia yeye kupitia cheo chake cha Balozi wa Heshima wa Oman nchini Morocco.…...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
NDEGE YA UJERUMANI YAANGUKA IKIWA NA WATU 150
11 years ago
GPL
Kapombe apanda ndege kwenda Ufaransa, ashushwa Nairobi, arudishwa Dar
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Nyuki yasababisha safari ya ndege kutibuka
10 years ago
Raia Tanzania27 Jul
Zitto: ACT itasimama peke yake
KIONGOZI wa chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama hicho hakitaungana na kingine chochote kutokana na misingi waliyojiwekea.
Akizungumza na wanachama wa ACT wenye nia ya kugombea nafasi za ubunge mkoani Dar Zitto alisema chama hicho kuungana na chama chenye misingi tofauti kutapoteza maana ya kuwapo kwake.
“Tukifanya hivyo hakutakuwa na sababu ya kuwapo kwa ACT – Wazalendo,” alisema Zitto.
Alisema ACT itasafiri peke yake katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuwa vyama...
10 years ago
Vijimambo
MAGUFULI ASIMAMIA SHOW PEKE YAKE TUNDUMA




10 years ago
Habarileo20 Aug
Ligi bara kumnufaisha bingwa peke yake
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) jana lilitoa ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza Septemba 12 mwaka huu na ambayo safari hii bingwa pekee ndiye ataiwakilisha nchi kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
10 years ago
Michuzi.jpg)
HAKUNA NCHI INAYOWEZA KUSIMAMA PEKE YAKE-BAN KI MOON