Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAKUNA NCHI INAYOWEZA KUSIMAMA PEKE YAKE-BAN KI MOON

Na Mwandishi Maalum, New York  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, amesema, kutokana na dunia kukabiliwa na matatizo mengi na ambayo yanatokea kwa wakati mmoja.Kuanzia mlipuko wa Ebola, vita na machafuko , ugadi, uhalifu wa kupangwa na mabadiliko ya tabia nchi.  Hakuna nchi ambayo inaweza kujidai kwamba inaweza kusimama peke yake. Ameyasema hayo siku ya jumanne wakati alipokuwa akibadilishana mawazo na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Dunia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

"Muumbaji wa ndoa ni Mungu peke yake............Hakuna mwalimu wa ndoa hapa duniani" - Tumaini Kilangwa

Tumaini Kilangwa au da Tuma, yeye ni mama wa watoto wawili, mke, na mfanyabiashara. katika mahojiano haya ambayo yote amerekodi na unaweza sikiliza (audio), ameongelea mambo mabali mbali kuanzia alipotokea, maisha yake ya elimu, maisha kama mama, maisha kama mke, na maisha kama mfanyabiashara. Ni mahojiano mazuri sana ambayo yanafundisha na kutia moyo kuwa hakuna lisilo wezekana kwa Mungu  (kama unaamini kuna Mungu). Tafadhali chukua muda wako umsikilize wala hutojutia...

 

11 years ago

Michuzi

Ban Ki Moon AIPONGEZA TANZANIA KWA ULIPAJI WA MICHANGO YAKE

Na Mwandishi Maalum  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, ametoa shukrani na pongezi za pekee kwa kuwa moja ya nchi 29 kati ya 193 ambazo hadi kufikia Mei Sita mwaka huu, zilikuwa zimelipia kwa ukamilifu na kwa wakati michango yake katika Umoja wa Mataifa.  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kati ya nchi hizi ambazo katibu Mkuu amezipongeza. Tanzania imelipa zaidi ya dola za kimarekani 450,000 kama sehemu ya michango yake kwa Chombo hicho cha Kimataifa.  Na kwa...

 

5 years ago

Michuzi

CHUGAZO-HAKUNA MWANAUME ANAKUWA JUU BILA KUSIMAMA KWENYE MABEGA YA MWANAMKE

Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa Nguvu za Pamoja (TAPO) TGNP Grace Kisetu akifungua warsha ya kuhusu ufuatiliaji wa kazi za uhamasishaji wa jamii juu ya umuhimu wa wanawake kushiriki katika nafasi na michakato ya maamuzi na uongozi leo Jumamosi Februari 15,2020 katika Ukumbi wa Vijana Center Mjini Shinyanga. Picha zote na Kadama Malunde 1 blog.Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa Nguvu za Pamoja (TAPO) TGNP Grace Kisetu akifungua warsha ya kuhusu ufuatiliaji wa kazi za uhamasishaji wa jamii juu ya umuhimu...

 

5 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA ARUSHA IDD KIMANTA AMTAKA DC BALELE KUSIMAMA VEMA KUHAKIKISHA HAKUNA HATI CHAFU MONDULI

Na Woinde Shizza , Michuzi Tv-Monduli

MKUU wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta amemueleza Mkuu wa Wilaya ya Monduli ACP Edward Balele kuwa Wilaya ya Monduli haijawai kupata hati chafu tokea Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, hivyo amemtaka aendelee kusimamia vyema ili hati chafu isiwepo..

Kimanta ameyasema hayo alipokuwa akimkabidhi ofisi Mkuu huyo wa Wilaya katika ofisi za Wilaya ya Monduli na kisha kuzungumza na watumishi wa ofisi ya mkuu wa Wilaya na halmashauri.Amemtaka Mkuu uyo wa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Zitto: ACT itasimama peke yake

KIONGOZI wa chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama hicho hakitaungana na kingine chochote kutokana na misingi waliyojiwekea.

Akizungumza na wanachama wa ACT wenye nia ya kugombea nafasi za ubunge mkoani Dar Zitto alisema chama hicho kuungana na chama chenye misingi tofauti kutapoteza maana ya kuwapo kwake.

“Tukifanya hivyo hakutakuwa na sababu ya kuwapo kwa ACT – Wazalendo,” alisema Zitto.

Alisema ACT itasafiri peke yake katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuwa vyama...

 

11 years ago

BBC

Viewpoint: CAR needs help - Ban Ki-Moon

UN chief says CAR 'must not become another Rwanda'

 

9 years ago

BBCSwahili

Ban Ki Moon ziarani Nigeria

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-moon amewasili jana nchini Nigeria kuanza ziara ya siku mbili.

 

9 years ago

Habarileo

Ligi bara kumnufaisha bingwa peke yake

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) jana lilitoa ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza Septemba 12 mwaka huu na ambayo safari hii bingwa pekee ndiye ataiwakilisha nchi kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI ASIMAMIA SHOW PEKE YAKE TUNDUMA

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa shule ya msingi Tunduma tayari kuhutubia mkutano wa kampeni. Wananchi wa Tunduma wakizingira gari la mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano Tunduma.
 Katibu wa Siasa na Uenezi CCM mkoa wa Mbeya Ndugu Bashiru Madodi akizungumza kabla mgombea wa urais kupitia CCM Dk.John pombe magufuli hajahutubia wakazi wa Tunduma. Wakazi wa Tunduma wakiwa wamefurika kumsikiliza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani