MKUU WA MKOA WA ARUSHA IDD KIMANTA AMTAKA DC BALELE KUSIMAMA VEMA KUHAKIKISHA HAKUNA HATI CHAFU MONDULI
Na Woinde Shizza , Michuzi Tv-Monduli
MKUU wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta amemueleza Mkuu wa Wilaya ya Monduli ACP Edward Balele kuwa Wilaya ya Monduli haijawai kupata hati chafu tokea Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, hivyo amemtaka aendelee kusimamia vyema ili hati chafu isiwepo..
Kimanta ameyasema hayo alipokuwa akimkabidhi ofisi Mkuu huyo wa Wilaya katika ofisi za Wilaya ya Monduli na kisha kuzungumza na watumishi wa ofisi ya mkuu wa Wilaya na halmashauri.Amemtaka Mkuu uyo wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA IDD HASSAN KIMANTA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Idd Hassan Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Juni 2020.Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Hassan Kimanta akila kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare...
10 years ago
MichuziMkuu wa Mkoa wa Arusha aikabidhi ngao Vodacom Tanzania kwa kutambua mchango wake kuhakikisha usalama barabarani
5 years ago
CCM BlogRAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA IDD HASSAN KAMANTA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
IKULU, Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 22 Juni, 2020 amemuapisha Bw. Idd Hassan Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.Hafla ya uapisho huo imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo pia Mhe. Rais Magufuli na...
5 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA ARUSHA AFUNGUA MAFUNZO YA MADAKTARI YANAYORATIBIWA NA WCF JIJINI ARUSHA
Mkuu wa Mkoa ametoa kauli hiyo leo Juni 24, 2020 katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Laban Kihongesi wakati akifungua mafunzo ya uelimishaji wa tathmini za ulemavu uliotokana na...
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA ARUSHA AZINDUA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI, KITAIFA JIJINI ARUSHA LEO.
10 years ago
MichuziHAKUNA NCHI INAYOWEZA KUSIMAMA PEKE YAKE-BAN KI MOON
11 years ago
Michuzimkuu wa mkoa wa lindi akagua miradi ya maendeleo wilayani liwale, atoa agizo kwa Wazazi kuhakikisha watoto waliopasi kuingia sekondari wawe wameripoti shuleni ndani ya siku 7
5 years ago
MichuziCHUGAZO-HAKUNA MWANAUME ANAKUWA JUU BILA KUSIMAMA KWENYE MABEGA YA MWANAMKE
10 years ago
Habarileo25 Dec
UVCCM sasa wakurugenzi wenye hati chafu kushughulikiwa
UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wametaka hatua ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia kuwachukulia hatua wakurugenzi waliovuruga uchaguzi wa serikali isiishie hapo, bali pia iwachukulie hatua wakurugenzi waliopata hati chafu.