Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVCCM sasa wakurugenzi wenye hati chafu kushughulikiwa

 Paul MakondaUMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wametaka hatua ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia kuwachukulia hatua wakurugenzi waliovuruga uchaguzi wa serikali isiishie hapo, bali pia iwachukulie hatua wakurugenzi waliopata hati chafu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wachungaji wakaidi sasa kushughulikiwa

Uongozi wa Kanisa la Moravian Tanzania, umetangaza kuwachukulia hatua kali ikiwa ni pamoja na kuwasimamisha wachungaji na wajumbe wote wa halmashauri kuu watakaondelea kukiuka uamuzi wa mkutano mkuu uliofanya mabadiliko ya uongozi.

 

5 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA ARUSHA IDD KIMANTA AMTAKA DC BALELE KUSIMAMA VEMA KUHAKIKISHA HAKUNA HATI CHAFU MONDULI

Na Woinde Shizza , Michuzi Tv-Monduli

MKUU wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta amemueleza Mkuu wa Wilaya ya Monduli ACP Edward Balele kuwa Wilaya ya Monduli haijawai kupata hati chafu tokea Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, hivyo amemtaka aendelee kusimamia vyema ili hati chafu isiwepo..

Kimanta ameyasema hayo alipokuwa akimkabidhi ofisi Mkuu huyo wa Wilaya katika ofisi za Wilaya ya Monduli na kisha kuzungumza na watumishi wa ofisi ya mkuu wa Wilaya na halmashauri.Amemtaka Mkuu uyo wa...

 

10 years ago

Habarileo

Tamisemi sasa ‘yavuta’ vitanzi vya wakurugenzi

Kassim MajaliwaSIKU zinaanza kuhesabika kwa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Manispaa kupata kibano, ikiwemo kuvuliwa nyadhifa iwapo watashindwa kutekeleza agizo la Rais la ujenzi wa maabara.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali sasa kuilipa PSPF kwa hati fungani

Serikali imepanga kulipa deni la Sh574 bilioni kwa mfumo wa hati fungani ililokopa kutoka Mfuko wa Pensheni wa Watumishi wa Umma (PSPF).

 

9 years ago

Habarileo

Wenye simu sasa wafikia milioni 32

SERIKALI imesema idadi ya watumiaji wa huduma za mawasiliano nchini, imeendelea kuongezeka kutoka laini za simu za viganjani milioni 2.96 mwaka 2005 hadi kufikia milioni 32.1 Desemba mwaka jana.

 

10 years ago

Habarileo

Wenye CPA sasa wafikia 6,002

JUMLA ya watahiniwa 356 wamefaulu mtihani wa shahada ya juu ya uhasibu nchini (CPA) na kufanya watahiniwa waliofaulu mitihani hiyo kufikia 6,002 tangu mitihani hiyo ilipoanza mwaka 1975.

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA VIJANA UVCCM MKOANI ARUSHA WALAKUTANA KUMJADILI NAIBU KATIBU UVCCM MKOA HUO

???????????????????????????????
Mwenyekiti UVCCM mkoa wa Arusha Robinson Meitinyiku akitoa taarifa ya ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya taarifa za upotoshaji zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari na baadhi ya viongozi wa UVCCM mkoani hapa. Ambao Mkutano huo ulitanguliwa na Kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Arusha waliaofikiana kutoa maamuzi juu ya mgogoro wao na Kaimu Katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha Gerald Mwadalu anayetuhumiwa kufunga ofisi na matumizi mabaya ya fedha za umoja huo.

???????????????????????????????
Katibu wa UVCCM wilaya ya...

 

5 years ago

Michuzi

Wagonjwa wapya 53 wa corona waongezeka, Amana Sasa kupokea wenye dalili badala ya Muhimbili

SERIKALI imetangaza watu wapya 53 ambao wameambukizwa VIRUSI vya Corona nchini na hivyo kufanya jumla ya wagonjwa kufikia 147 tangu kutajwa kwa mgonjwa wa kwanza tarehe 16/03/2020, huku Hospitali ya Rufaa ya Amana ikiagizwa rasmi kupokea wagonjwa wenye dalili ya ugonjwa wa Corona badala ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu  wakati akipokea misaada kutoka katika kampuni mbalimbali kwa ajili...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mashine ya BVR sasa haina tatizo hata kwa wenye vidole vyenye sugu — NEC

unnamed

Mbunge  wa  jimbo la  Ludewa, Mh. Deo Filikunjombe (kushoto) akiweka sahihi  katika mashine ya kielektroniki za Biometric Voters Registration (BVR),wakati akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura juzi katika kituo cha shule ya msingi Ludewa mjini, wa pili kulia anayeshuhudia ni kamishina wa tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC), Prof. Amone Chaligha.

Na MatukiodaimaBlog, Ludewa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema mchakato wa uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani