Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ban Ki Moon AIPONGEZA TANZANIA KWA ULIPAJI WA MICHANGO YAKE

Na Mwandishi Maalum  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, ametoa shukrani na pongezi za pekee kwa kuwa moja ya nchi 29 kati ya 193 ambazo hadi kufikia Mei Sita mwaka huu, zilikuwa zimelipia kwa ukamilifu na kwa wakati michango yake katika Umoja wa Mataifa.  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kati ya nchi hizi ambazo katibu Mkuu amezipongeza. Tanzania imelipa zaidi ya dola za kimarekani 450,000 kama sehemu ya michango yake kwa Chombo hicho cha Kimataifa.  Na kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HAKUNA NCHI INAYOWEZA KUSIMAMA PEKE YAKE-BAN KI MOON

Na Mwandishi Maalum, New York  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, amesema, kutokana na dunia kukabiliwa na matatizo mengi na ambayo yanatokea kwa wakati mmoja.Kuanzia mlipuko wa Ebola, vita na machafuko , ugadi, uhalifu wa kupangwa na mabadiliko ya tabia nchi.  Hakuna nchi ambayo inaweza kujidai kwamba inaweza kusimama peke yake. Ameyasema hayo siku ya jumanne wakati alipokuwa akibadilishana mawazo na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Dunia...

 

10 years ago

Michuzi

WALINDA AMANI WAWILI WA TANZANIA WAPOTEZA MAISHA DRC, BAN KI MOON ALAANI VIKALI

Mwakilishi Maalum wa  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya  Kongo ( DRC) Bw. Martin Kobler akiwafariji  walinzi wa amani  kutoka  Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) wanaohudumu katika Misheni ya MONUSCO ( DRC)  kufuatia shambulio  lililotokea siku ya  Jumanne huko Ben,i Magharibi ya Jimbo la Kivu. Katika shambulio hilo na ambalo limelaaniwa vikali na  Katibu Mkuu, Ban  Ki Moon, walinzi wawili wamepoteza maisha na wengine 13...

 

11 years ago

Michuzi

BAN KI MOON AZINDUA MWONGO WA NISHATI KWA WOTE (2014-2024 )

Na Mwandishi Maalum, New York   Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, jana alhamisi amezindua rasmi mwongo wa Nishati Endelevu kwa wote (SE4ALL) wakati wa mkutano unaohudhuriwa na wajumbe zaidi wa 1,000 wakiwamo zaidi ya mawaziri 20 wa Nishati 20 wafanyabishara, mashirika ya kimataifa yakiwamo ya fedha na Asasi zisizokuwa za kiserikali. Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano huu ulioanza Juni 4 na utamalizika Juni 6, unaongozwa na Waziri wa ...

 

10 years ago

Michuzi

BAADA YA UCHAGUZI WA AMANI, BURUNDI BAN KI MOON ATAKA KUTEJEA KWA MAZUNGUMZO

Na Mwandishi Maalum, New York.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, amezitaka pande zinazopingana nchini Burundi kubaki watulivu na kurejea mara moja katika meza ya majadiliano jumuishi ya kisiasa ili kumaliza tofauti zao na kujadili changamoto zinazolikabili taifa lao.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Katibu Mkuu, Julai 23, Ban Ki Moon ametambua hali ya Amani na utulivu iliyotawala wakati wa uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo ( Burundi )uliofanyika Julai 21...

 

5 years ago

Michuzi

Mwakilishi wa WHO aipongeza Iran kwa mapambano yake dhidi ya Corona

Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ambaye ameitembelea Iran hivi karibuni amepongeza juhudi kubwa za vyombo na taasisi za afya hapa nchini katika kupambana na virusi vya Corona.

Dr. Christoph Hamelmann ameashiria ziara na ukaguzi wake akiwa pamoja na wataalamu kutoka China katika hospitali na taasisi za afya nchini Iran na kusema: Wataalamu wa China wameathiriwa sana na huduma zinazotolewa katika hospitali hizo.

Mwakilishi wa WHO amesema kuwa, kuwepo vituo bora na madhubuti vya huduma...

 

11 years ago

BBC

Viewpoint: CAR needs help - Ban Ki-Moon

UN chief says CAR 'must not become another Rwanda'

 

9 years ago

BBCSwahili

Ban Ki Moon ziarani Nigeria

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-moon amewasili jana nchini Nigeria kuanza ziara ya siku mbili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ban Ki Moon ziarani Pembe ya Afrika

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon yuko nchini Ethiopia kujadili mlipuko wa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ban Ki-Moon alaani yanayojiri S.kusini

Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa, Ban Ki Moon amelaani kufukuzwa kwa mratibu wa misaada ya kibinaadam Sudani kusini

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani