Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwakilishi wa WHO aipongeza Iran kwa mapambano yake dhidi ya Corona

Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ambaye ameitembelea Iran hivi karibuni amepongeza juhudi kubwa za vyombo na taasisi za afya hapa nchini katika kupambana na virusi vya Corona.

Dr. Christoph Hamelmann ameashiria ziara na ukaguzi wake akiwa pamoja na wataalamu kutoka China katika hospitali na taasisi za afya nchini Iran na kusema: Wataalamu wa China wameathiriwa sana na huduma zinazotolewa katika hospitali hizo.

Mwakilishi wa WHO amesema kuwa, kuwepo vituo bora na madhubuti vya huduma...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

IRAN IMESIMAMA IMARA DHIDI YA CORONA KWA AZMA THABITI

Mwakilishi wa WHO:  Iran imesimama imara dhidi ya corona  kwa azma thabiti Mkuu wa ujumbe wa Shirika la Afya Duniani uliopo hapa nchini amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inakabiliana kwa dhati dhidi ya maambukizo ya virusi vya corona.Richard Brennan Mkuu wa ujumbe wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini  nchini ambao ulielekea katika mji wa Qum kusini mwa Tehran  kwa ajili ya kuchunguza hali ya maambukizo ya virusi vya corona jana usiku alikutana na kufanya mazungumzo na Bahram Sarmast Gavana wa Qum na kueleza kuwa: Kesi ya kwanza ya maambukizo ya virusi vya...

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA APOKEA MISAADA KWA AJILI YA MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA CORONA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya  sh. 4, 000,000,000/= kutoka kwa Meneja Mkazi  (Country Manager) wa Kampuni ya Madini ya Barric - Twiga Minerals, Hilaire Diarra (kushoto) na Msaidizi wake, Neema Ndossi (kulia)  ukiwa ni mchango wa Kampuni hiyo kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu- COVID - 19. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 8, 2020. Wa pili kushoto...

 

5 years ago

Michuzi

ASASI ZA KIRAIA ZACHANGIA SH MILIONI 79 KWA AJILI YA KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA


Charles James, Michuzi TV

KATIKA kuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali kwenye mapambano ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa Corona, Mashirika yasiyo ya kiserikali (AZAKI) yamechangia Sh Milioni 79 kwa kamati ya kupambana na ugonjwa huo inayoongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

AZAKI pia imeahidi kutoa elimu kwa jamii kuhusu jinsi ya kujikinga na ugonjwa huo ikiwemo kuhamasisha wananchi kutumia vitakasa mikono, maji ya kunawa, kuepuka misongamano isiyo ya lazima na kuwahi kituo cha...

 

5 years ago

CCM Blog

NMB YATOA MCHANGO WA SH. MIL 100 KWA SERIKALI KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA

Benki ya NMB katika kudhibiti na kupambana dhidi ya virusi vya Corona, Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB-Ruth Zaipuna amekabidhi msaada wa kifedha shilingi Milioni 100 kwa Mhe. Waziri Mkuu - Kassim Majaliwa mbele ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto - Ummy Mwalimu pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali. Makabidhiano hayo yamefanyika mwishoni mwa wiki katika ofisi ya Waziri Mkuu-Dar es Salaam.

 Waziri Mkuu - Kassim Majaliwa (wa tatu kushoto) akipokea hundi ya Sh....

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Imani za kidini zinasaidia au zinadidimiza mapambano dhidi ya corona?

Katikati ya mwezi Machi mwaka huu nchi ya Malaysia ilifunga mashule, ofisi na sehemu za ibada katika juhudi za kupambana kuenea virusi vya corona, baada ya kubaini mikusanyiko katika misikiti ilichangia pakubwa kuripuka kwa ugonjwa huo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Serikali, sayansi na sintofahamu ya mapambano dhidi ya corona Tanzania

Wakati serikali zote duniani zimeendelea kujifunza namna sahihi ya kupambana na ugonjwa huu, zipo zinazosifika na zile zinazokosolewa kwa namna zinavyopambana na Corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi kinyesi cha kuku kinavyotumika mapambano dhidi ya corona

Jinsi Sweden inavyotumia mbinu ya ajabu kupambana na maambukizi ya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je, dawa za mitishamba zina nafasi katika mapambano dhidi ya corona?

Dawa ya asili ya Covid-19 ambayo imetengenezwa nchini Madagascar na kutangazwa na rais Andry Rajoelina imezua mijadala kuhusu matumizi ya dawa za mitishamba barani Afrika.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Mapambano dhidi ya Corona DRC

Makala inayoonyesha kwa picha changamoto ambazo raia wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanakabiliana nazo katika mapambano dhidi ya magonjwa ya mlipuko kwa mwaka 2020.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani