Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IRAN IMESIMAMA IMARA DHIDI YA CORONA KWA AZMA THABITI

Mwakilishi wa WHO:  Iran imesimama imara dhidi ya corona  kwa azma thabiti Mkuu wa ujumbe wa Shirika la Afya Duniani uliopo hapa nchini amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inakabiliana kwa dhati dhidi ya maambukizo ya virusi vya corona.Richard Brennan Mkuu wa ujumbe wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini  nchini ambao ulielekea katika mji wa Qum kusini mwa Tehran  kwa ajili ya kuchunguza hali ya maambukizo ya virusi vya corona jana usiku alikutana na kufanya mazungumzo na Bahram Sarmast Gavana wa Qum na kueleza kuwa: Kesi ya kwanza ya maambukizo ya virusi vya...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Mwakilishi wa WHO aipongeza Iran kwa mapambano yake dhidi ya Corona

Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ambaye ameitembelea Iran hivi karibuni amepongeza juhudi kubwa za vyombo na taasisi za afya hapa nchini katika kupambana na virusi vya Corona.

Dr. Christoph Hamelmann ameashiria ziara na ukaguzi wake akiwa pamoja na wataalamu kutoka China katika hospitali na taasisi za afya nchini Iran na kusema: Wataalamu wa China wameathiriwa sana na huduma zinazotolewa katika hospitali hizo.

Mwakilishi wa WHO amesema kuwa, kuwepo vituo bora na madhubuti vya huduma...

 

11 years ago

Michuzi

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Iran yaamua kufungua misikiti licha masharti ya kukabiliana na corona

Misikiti kote nchini Iran imepangiwa kufunguliwa Jumanne hatua inayowadia licha ya kwamba baadhi ya maeneo bado yanaathirika vibaya na janga la virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi Iran inavyokabiliana na corona

Iran inahofia uhaba wa vifaa vya kujikinga na virusi vya corona wakati huu ambao inakabiliwa na vikwazo vya Marekani.

 

5 years ago

Michuzi

Raia wawili wa Iran wafariki dunia mjini Qom kwa maradhi ya virusi vya Corona

Mkuu wa Kituo cha Mawasiliano ya Umma na Upashaji Habari cha Wizara ya Afya nchini Iran, amethibitisha habari ya kufariki dunia watu wawili kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona mjini Qom nchini hapa.

Kiyanush Jahanpur aliyasema hayo jana Jumatano na kubainisha kwamba kufuatia ongezeko la matatizo ya kupumua lililoshuhudiwa katika siku za hivi karibuuni mjini Qom, uchunguzi wa vipimo ulithibitisha kesi mbili za maambukizi ya virusi vya Corona.  Ameongeza kwa kusema: "Kwa bahati mbaya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Vurusi vya corona: Jinsi kampuni ya ndege ya Mahan Air nchini Iran ilivyokaidi marufuku na kusambaza corona mashariki ya kati.

BBC imefanya uchunguzi kuhusu jinsi ndege moja ya kampuni ya Iran, kwa jina Mahan Air ilivyochangia katika usambazaji wa virusi vya corona katika eneo la mashariki ya kati.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AWAPONGEZA WAISLAM KWA KUMALIZA MFUNGO WA RAMADHANI, AWASHUKURU KWA KULIOMBEA TAIFA DHIDI YA CORONA

DODOMA, Tanzania
RAIS Dk. John Magufuli amewapongeza Waislam wote nchini kwa kumaliza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani huku akiwashuru kwa namna walivyoshiriki kuliombea Taifa hasa  katika kipindi hiki cha kukabilia na ugonjwa wa COVID-19.
Hayo yamesemwa leo (Jumapili, Mei 24, 2020) na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati akizungumza na waumini wa dini ya kiislam mara baada ya kumaliza kuswali sala ya Eid El Fitri katika Msikiti wa Gaddafi, jijini Dodoma. Pia Rais Dkt. Magufuli...

 

5 years ago

CCM Blog

WHO: UONGOZI IMARA CHANZO CHA AFRIKA KUPATA MAAMBUKIZI MADOGO YA CORONA

  Shirika la Afya Duniani (WHO), limesema kuwa uongozi imara wa nchi ni moja kati ya sababu za Afrika kupata kiwango kidogo cha maambukizi ya virusi vipya vya corona (covid-19), tofauti na ilivyotarajiwa.

Afrika ina 1.5% ya visa vyote vya corona vilivyoripotiwa duniai kote, na ina 0.1% ya vifo vya corona duniani kote, kwa mujibu wa WHO.

Mkurugenzi wa WHO Ukanda wa Afrika, Dkt. Matshidiso Moeti alitoa kauli hiyo alipozungumza na vyombo vya habari mwishoni mwa wiki, kuhusu hali ya maambukizi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Vikwazo dhidi ya Iran kuondolewa

Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza amesema huenda vikwazo dhidi ya Iran vikaanza kuondolewa mapema mwaka ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani