Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raia wawili wa Iran wafariki dunia mjini Qom kwa maradhi ya virusi vya Corona

Mkuu wa Kituo cha Mawasiliano ya Umma na Upashaji Habari cha Wizara ya Afya nchini Iran, amethibitisha habari ya kufariki dunia watu wawili kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona mjini Qom nchini hapa.

Kiyanush Jahanpur aliyasema hayo jana Jumatano na kubainisha kwamba kufuatia ongezeko la matatizo ya kupumua lililoshuhudiwa katika siku za hivi karibuuni mjini Qom, uchunguzi wa vipimo ulithibitisha kesi mbili za maambukizi ya virusi vya Corona.  Ameongeza kwa kusema: "Kwa bahati mbaya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wagonjwa 23 wa corona wathibitishwa Zanzibar, wawili wafariki

Serikali ya Zanzibar imethibitisha kuwepo kwa wagonjwa wapya 23 wa virusi vya corona na vifo vya watu wawili.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi virusi vya corona vinavyobadilisha tabia za raia wa Sierre Leone

Sehemu ya kwanza ya kipindi cha Afrika Eye inaangazia mlipuko wa corona unavyobadilisha tabia za raia wa Sierra Leone kuhusu jinsi wanavyoshirikiana

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wagonjwa wa corona 4 wafariki huku 15 wakipata maambukizi Kenya

Kenya imeripoti jumla ya visa 411 vya maambukizi ya virusi vya corona Ijumaa, kwa mujibu wa taarifa za hivi punde zilizotangazwa na Waziri wa Afya wan chi hiyo Bwana Mutahi Kagwe

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Iran yaamua kufungua misikiti licha masharti ya kukabiliana na corona

Misikiti kote nchini Iran imepangiwa kufunguliwa Jumanne hatua inayowadia licha ya kwamba baadhi ya maeneo bado yanaathirika vibaya na janga la virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi Iran inavyokabiliana na corona

Iran inahofia uhaba wa vifaa vya kujikinga na virusi vya corona wakati huu ambao inakabiliwa na vikwazo vya Marekani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku

Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Paka wawili wa kufugwa waambukizwa corona New York

Wanasayansi wanafikiri kuwa hakuna uwezekano wa mnyama kumuambukiza binadamu virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mwanamke Aliyezaa watoto wawili na Assange kwa siri ubalozini aeleza hofu yake

Mwanasheria Stella Morris anasema wawili hao walianza mapenzi yao mwaka 2015 wakati Asange akiwa mafichoni kwenye ubalozi wa Ecuador jijini London.

 

5 years ago

Michuzi

Waathirika 291 wa virusi vya Corona wapona nchini Iran


Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Udaktari nchini Iran imetangaza kwamba hadi sasa watu 291 waliokuwa wameathirika na virusi vya Corona wamepona na kuruhusiwa kutoka hospitalini.

Alireza Raeesi, Naibu Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Udaktari nchini Iran ameyasema hayo leo akiongea na waandishi wa habari. Ameashiria kuwa watu 1,501 waathiriwa wa virusi vya Corona nchini Iran na kusema kwa bahati mbaya hadi sasa watu 66 wamefariki dunia kutokana na virusi hivyo.

Virusi vya Corona viliibuka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani