BAN KI MOON AZINDUA MWONGO WA NISHATI KWA WOTE (2014-2024 )
![](http://1.bp.blogspot.com/--yAW_U7HC1o/U5FFjQUmkmI/AAAAAAAFn90/jExkY0uoElg/s72-c/unnamed1.jpg)
Na Mwandishi Maalum, New York Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, jana alhamisi amezindua rasmi mwongo wa Nishati Endelevu kwa wote (SE4ALL) wakati wa mkutano unaohudhuriwa na wajumbe zaidi wa 1,000 wakiwamo zaidi ya mawaziri 20 wa Nishati 20 wafanyabishara, mashirika ya kimataifa yakiwamo ya fedha na Asasi zisizokuwa za kiserikali. Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano huu ulioanza Juni 4 na utamalizika Juni 6, unaongozwa na Waziri wa ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAWAZIRI WA NISHATI WAJADILI KUHUSU NISHATI ENDELEVU KWA WOTE
Na Mwandishi Maalum, New York
Naibu ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-bAk3UCGRWgA/VV1MdM717KI/AAAAAAAHYvA/DaDC3s75aK0/s72-c/unnamed%2B%252863%2529.jpg)
MAWAZIRI WA NISHATI WAJADILI NISHATI ENDELEVU KWA WOTE.
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI GEORGE SIMBACHAWENE AFUNGUA MKUTANO WA KUJADILI NISHATI ENDELEVU NCHINI KWA WOTE
5 years ago
Aljazeera.Com20 Mar
Earthbound: Coronavirus dents NASA's 2024 return to moon
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-DjdzOO_je3U/U3v0dT23XbI/AAAAAAAFkFs/xd1ayJmaJn0/s72-c/unnamed.jpg)
Ban Ki Moon AIPONGEZA TANZANIA KWA ULIPAJI WA MICHANGO YAKE
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-pNBdVlin5Lw/VbHEumWFvGI/AAAAAAAHrYs/5dS9hlmWL6c/s72-c/unnamed.jpg)
BAADA YA UCHAGUZI WA AMANI, BURUNDI BAN KI MOON ATAKA KUTEJEA KWA MAZUNGUMZO
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, amezitaka pande zinazopingana nchini Burundi kubaki watulivu na kurejea mara moja katika meza ya majadiliano jumuishi ya kisiasa ili kumaliza tofauti zao na kujadili changamoto zinazolikabili taifa lao.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Katibu Mkuu, Julai 23, Ban Ki Moon ametambua hali ya Amani na utulivu iliyotawala wakati wa uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo ( Burundi )uliofanyika Julai 21...
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/74170000/jpg/_74170569_021804091.jpg)
9 years ago
BBCSwahili24 Aug
Ban Ki Moon ziarani Nigeria
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Ban Ki Moon ziarani Pembe ya Afrika