MAWAZIRI WA NISHATI WAJADILI NISHATI ENDELEVU KWA WOTE.
![](http://4.bp.blogspot.com/-bAk3UCGRWgA/VV1MdM717KI/AAAAAAAHYvA/DaDC3s75aK0/s72-c/unnamed%2B%252863%2529.jpg)
Na Mwandishi Maalum, New York Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe.Charles Kitwanga ( Mb), ni miongoni mwa mawaziri kutoka mataifa mbalimbali duniani wanaohudhuria mkutano wa kila mwaka kuhusu Nishati Endelevu kwa Wote (SE4All) Mkutano huu unafanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, ambao siku ya jumatano mawaziri wameanza kujadili na kubadilisha uzefu kuhusu eneo hilo la nishati ambalo linaelezwa kuwa ni muhimu kwa maendeleo endelevu kijamii, kiuchumi na ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAWAZIRI WA NISHATI WAJADILI KUHUSU NISHATI ENDELEVU KWA WOTE
Na Mwandishi Maalum, New York
Naibu ...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI GEORGE SIMBACHAWENE AFUNGUA MKUTANO WA KUJADILI NISHATI ENDELEVU NCHINI KWA WOTE
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/--yAW_U7HC1o/U5FFjQUmkmI/AAAAAAAFn90/jExkY0uoElg/s72-c/unnamed1.jpg)
BAN KI MOON AZINDUA MWONGO WA NISHATI KWA WOTE (2014-2024 )
10 years ago
MichuziHAKUNA MAENDELEO BILA NISHATI ENDELEVU - KITWANGA
10 years ago
VijimamboHAKUNA MAENDELEO BILA NISHATI ENDELEVU-MHE KITWANGA
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-G25Ul8cs488/U89axozq-pI/AAAAAAAF5BU/QRkUZb08clA/s72-c/unnamed+(5).jpg)
Nishati na Madini kuanzisha Mpango wa Taifa wa Matumizi Bora ya Nishati
![](http://3.bp.blogspot.com/-G25Ul8cs488/U89axozq-pI/AAAAAAAF5BU/QRkUZb08clA/s1600/unnamed+(5).jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qLATbIl49jQ/VfFMBkbxeWI/AAAAAAAH3xA/E58GVKH3U9w/s72-c/image.jpg)
SHULE ZA SEKONDARI NCHINI ZASHAURIWA KUWEKEZA KATIKA MATUMIZI YA NISHATI ENDELEVU YA BIOGESI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-qLATbIl49jQ/VfFMBkbxeWI/AAAAAAAH3xA/E58GVKH3U9w/s640/image.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-8E26RAgPpus/VfFMBn-4xZI/AAAAAAAH3w8/bLf1f9RYsjo/s640/image_2.jpg)
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Shule za Sekondari nchini zashauriwa kuwekeza katika matumizi ya Nishati endelevu ya Biogesi
Mkuu wa Shule ya Sekondari Manzese Bw.Linus Mwakasege akitoa ufafanusi kwa waandishi wa habari kuhusu manufaa ya mradi wa nishati endelevu ya Biogesi utakavyowanufaisha wanafunzi wa shule hiyo. (Picha zote na Aron Msigwa-MAELEZO).
Aron Msigwa-MAELEZO
9/9/2015.Dar es salaam.
Shule za Sekondari kote nchini zimeshauriwa kuwekeza katika matumizi ya Nishati endelevu ya Biogesi na majiko sanifu ili kulinda na kuhifadhi mazingira.
Ushauri huo umetolewa na Meneja Uhusiano wa Jamii wa Mamlaka ya Maji...
11 years ago
Michuzi04 Mar