Ufaransa kuchunguza mabaki ya ndege
Mtu anayedaiwa kubaini ushahidi wa kwanza wa mabaki ya Ndege ya Malysia iliyopotea ameelezea mazingira ya yalipopatikana
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili30 Jul
MH370:Australia na Malaysia kuchunguza mabaki
Serikali nchini Australia na Malaysia zimeelezea matumaini baada ya kupatikana kwa kipande cha mabaki ya ndege karibu na Madagascar
10 years ago
Vijimambo30 Jul
MABAKI YA NDEGE YANAYOSEMEKANA NI YA NDEGE YA MALAYSIA
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/03/07/150307074359_mh370_512x288_non_nocredit.jpg)
Mamlaka ya usafirishaji nchini Ufaransa imesema inachunguza mabaki ya ndege ya yanayodaiwa kupatikana ndani ya Bahari ya Hindi yanachunguzwa ili kubaini kama ni ya ndege ya Malaysia ya MH370 iliyopotea bila kuwa na taarifa zozote kwa muda mrefusasa.
Taarifa kutoka Marekani zinasema wachunguzihao ambao wameona picha za mabaki hayo wana uhakika mkubwa kwamba ni ya ndege hiyo ya Malaysia ambapo mabaki hayo ni sehemu ya bawa la ndege.
Hata hivyo,...
10 years ago
BBCSwahili01 Aug
Mabaki ya MH370 yasafirishwa Ufaransa
Mabaki yanayoaminika kutoka kwa ndege iliyotoweka ya shirika la ndege la Malaysia yamesafirishwa kwenda nchini Ufaransa
10 years ago
BBCSwahili30 Jul
Haya ni mabaki ya ndege ya Malaysia?
Ufaransa imesema inachunguza mabaki ya ndege yanayodaiwa kupatikana ndani ya Bahari ya Hindi kama ni ya ndege ya Malaysia ya MH370
11 years ago
BBCSwahili25 Jul
Mabaki ya ndege Algeria yaonekana
Mabaki ya ndege iliyopotea ikiwa na watu 116 njiani kutoka Burkanafaso kwenda Algers yamepatikana nchini Mali.
11 years ago
BBCSwahili20 Mar
Mabaki ya ndege ya Malaysia hayajapatikana
Shughuli ya kutafuta kilichoonekana kama mabaki ya ndege ya Malaysia iliyopotea imesitishwa kutokana na upepo mkali na mvua kubwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WA*Dv5OWc2hEXB8hVnt0Oy-VGBugFFP4q2S*uTOJA5gK8O*04nCy*HXt0uvO3-mq-5tV7ZY-NrDwxd2ty*9nfGn2gbJdVxTp/article25848161C6F4B8400000578325_634x423.jpg?width=650)
MABAKI YA NDEGE YAONEKANA AUSTRALIA
Msemaji wa masuala ya usalama wa safari za ndege Australia, John Young, akiongea na waandishi wa habari. Mabaki ya ndege pichani ambayo kimoja kina ukubwa wa mita 24, yameonekana umbali wa kilomita 2500 kusini Magharibi mwa pwani ya Australia. Waziri mkuu wa Australia amesema kuwa mitambo ya satelite ya…
11 years ago
BBCSwahili22 Mar
Picha ya 'mabaki ya ndege' iliyopotea
Kuna taarifa kuwa China imeanza kuchunguza picha mpya ya kitu kama mabaki ya ndege ya Malaysia iliyopotea.
11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Picha sio za mabaki ya ndege ya Malaysia
Serikali ya Malaysia imesema kuwa picha za Satelite za kile kinachodhaniwa kuwa vifusi vya ndege ya Malaysia zilitolewa kimakosa na wala sio za ndege hiyo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania