Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabaki ya MH370 yasafirishwa Ufaransa

Mabaki yanayoaminika kutoka kwa ndege iliyotoweka ya shirika la ndege la Malaysia yamesafirishwa kwenda nchini Ufaransa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

MH370:'Picha zaonyesha mabaki baharini'

Malaysia imesema kuwa picha mpya za Satelite zimeonyesha vitu 122 baharini vinavyodhaniwa kuwa mabaki ya ndege yake iliyotoweka zaidi ya wiki mbili zilizopita.

 

10 years ago

BBCSwahili

MH370:Australia na Malaysia kuchunguza mabaki

Serikali nchini Australia na Malaysia zimeelezea matumaini baada ya kupatikana kwa kipande cha mabaki ya ndege karibu na Madagascar

 

10 years ago

BBCSwahili

MH370:Uchunguzi wa kina waanza Ufaransa

Watalamu kutoka Ufaransa, Malaysia na Australia wameanza kuchunguza mabaki ya bawa la ndege kubaini uhusiano na ile iliyotoweka ya MH370

 

10 years ago

BBCSwahili

Ufaransa kuchunguza mabaki ya ndege

Mtu anayedaiwa kubaini ushahidi wa kwanza wa mabaki ya Ndege ya Malysia iliyopotea ameelezea mazingira ya yalipopatikana

 

11 years ago

GPL

MIILI YA NDEGE YA MALAYSIA YASAFIRISHWA

Ndege ya Uholanzi iliyobeba miili 16 ikiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kharkiv, Ukraine kuelekea nchini Uholanzi. Miili ikiwa tayari kupakiwa kwenye ndege kuelekea Uholanzi.…

 

10 years ago

GPL

MAITI YASAFIRISHWA JUU YA KERIA

Stori: Mwandishi wetu, aliyekuwa Arusha/Risasi Mchanganyiko
DUNIANI kuna matukio! Tofauti na utaratibu uliozoeleka, katika hali ya kushangaza, wanandugu wamelazimika kusafirisha maiti juu ya keria ya basi kutoka Arusha hadi Lushoto, Tanga kutokana na ukata.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo chanzo kilieleza kuwa, wanandugu hao ambao hawakuwa tayari kuanika majina yao, walifikia hatua hiyo ili waweze kuenea kwenye basi...

 

10 years ago

CloudsFM

Miili ya mashabiki wa Simba Ukawa yasafirishwa kutoka Morogoro kwenda Dar

Miili ya wanachama saba wa klabu ya Simba maarufu kama Simba Ukawa waliofariki mwishoni mwa wiki iliyopita mkoani Morogoro kwa ajali ya gari wakielekea mkoani Shinyanga kuishangalia timu yao imesafirishwa kuelekea jijini Dar.

 

9 years ago

BBC

Wing debris 'certainly' from MH370

French prosecutors say "with certainty" that a wing part found on Reunion Island in July came from missing flight MH370.

 

10 years ago

BBCSwahili

Malaysia yasitisha msako wa MH370

Serikali ya Malaysia imesitisha shughuli ya kuitafuta ndege iliyopotea ya MH370 na kuitaja kama ajali huku ikisema abiria wote waliangamia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani