MAITI YASAFIRISHWA JUU YA KERIA
![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUnJqrLW1ftOp0KDiNezc1q*EEdXFQIDtz496B9U2RGND3vG9Df3a4edxDrzpETaxgpBl7JdoDI0FW9ODqIOelUt/h.jpg?width=650)
Stori: Mwandishi wetu, aliyekuwa Arusha/Risasi Mchanganyiko DUNIANI kuna matukio! Tofauti na utaratibu uliozoeleka, katika hali ya kushangaza, wanandugu wamelazimika kusafirisha maiti juu ya keria ya basi kutoka Arusha hadi Lushoto, Tanga kutokana na ukata. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo chanzo kilieleza kuwa, wanandugu hao ambao hawakuwa tayari kuanika majina yao, walifikia hatua hiyo ili waweze kuenea kwenye basi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k4J3V8U2tthMImFbr1mtds3G0KPEEGyOdXKRqscgwM7211NoquHIVwTXMRa8duUGczs9xfJVzl0iAL*XanmEI5z/1.jpg?width=650)
MIILI YA NDEGE YA MALAYSIA YASAFIRISHWA
10 years ago
BBCSwahili01 Aug
Mabaki ya MH370 yasafirishwa Ufaransa
10 years ago
CloudsFM09 Apr
Miili ya mashabiki wa Simba Ukawa yasafirishwa kutoka Morogoro kwenda Dar
Miili ya wanachama saba wa klabu ya Simba maarufu kama Simba Ukawa waliofariki mwishoni mwa wiki iliyopita mkoani Morogoro kwa ajali ya gari wakielekea mkoani Shinyanga kuishangalia timu yao imesafirishwa kuelekea jijini Dar.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/-sg7R0dNX9M/default.jpg)
UFAFANUZI JUU YA MALALAMIKO YALIYOTOLEWA NA MH. DUNI JUU YA UWEPO WA VITUO HEWA
5 years ago
CCM Blog![](https://2.bp.blogspot.com/-KzWmrEVrx-w/XuG-7gYkf7I/AAAAAAACM70/7laHBM_b96AUGNHihQgKfxxqDvp2w1ZigCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200603-WA0011.jpg)
NHC ILIVYOIBEBA JUU KWA JUU ILANI YA UCHAGUZI YA CCM KWENYE SEKTA YA NYUMBA
![](https://2.bp.blogspot.com/-KzWmrEVrx-w/XuG-7gYkf7I/AAAAAAACM70/7laHBM_b96AUGNHihQgKfxxqDvp2w1ZigCLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200603-WA0011.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-vMD6kV8lvdg/XuHDHoKb0AI/AAAAAAACM78/DhEGE66AshUO8Q_RVZlkQvir3hqoAnFqgCLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200602-WA0049.jpg)
NA MWANDISHI MAALUM
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) ni moja ya mashirika ambayo ni nguzo ya Serikali ya Awamu ya Tano katika uteketezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inayoliongoza taifa kuelekea kwenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.
Mwandishi maalum ambaye amekuwa akimulika mwenendo wa utendaji wa taasisi na mashirika ya umma, amefanya...
10 years ago
Michuzi24 Feb
TAMWA YATOA MAFUNZO KWA WANAHABARI WA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI JUU YA KUPAMBANA NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Na Fredy Mgunda, Iringa
Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo.Msisitizo huo...
11 years ago
Mwananchi17 Mar
Bayern, Real, Atletico juu kwa juu