Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabaki ya ndege Algeria yaonekana

Mabaki ya ndege iliyopotea ikiwa na watu 116 njiani kutoka Burkanafaso kwenda Algers yamepatikana nchini Mali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MABAKI YA NDEGE YAONEKANA AUSTRALIA

Msemaji wa masuala ya usalama wa safari za ndege Australia, John Young, akiongea na waandishi wa habari. Mabaki ya  ndege pichani ambayo kimoja kina ukubwa wa mita 24, yameonekana umbali wa kilomita 2500 kusini Magharibi mwa pwani ya Australia. Waziri mkuu wa Australia amesema kuwa mitambo ya satelite ya…

 

11 years ago

BBCSwahili

Mabaki kama ya ndege yaonekana baharini

Uchina imechapisha picha zilizonaswa na mtambo wake wa satelite zikionyesha mabaki ya kitu kipana kikielea katika bahari ya South China

 

11 years ago

BBCSwahili

Mafuta yaonekana ya ndege iliyotoweka

Michirizi ya mafuta yaonekana huku msako waendelea kutafuta ndege ya Malaysia iliyotoweka ikiwa imebeba watu 239

 

10 years ago

Vijimambo

MABAKI YA NDEGE YANAYOSEMEKANA NI YA NDEGE YA MALAYSIA

Ndege ya Malaysia iliyopotea yaBoing 777 , MH370
Mamlaka ya usafirishaji nchini Ufaransa imesema inachunguza mabaki ya ndege ya yanayodaiwa kupatikana ndani ya Bahari ya Hindi yanachunguzwa ili kubaini kama ni ya ndege ya Malaysia ya MH370 iliyopotea bila kuwa na taarifa zozote kwa muda mrefusasa.

Taarifa kutoka Marekani zinasema wachunguzihao ambao wameona picha za mabaki hayo wana uhakika mkubwa kwamba ni ya ndege hiyo ya Malaysia ambapo mabaki hayo ni sehemu ya bawa la ndege.

Hata hivyo,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya ndege ya Malaysia hayajapatikana

Shughuli ya kutafuta kilichoonekana kama mabaki ya ndege ya Malaysia iliyopotea imesitishwa kutokana na upepo mkali na mvua kubwa

 

11 years ago

BBCSwahili

Picha ya 'mabaki ya ndege' iliyopotea

Kuna taarifa kuwa China imeanza kuchunguza picha mpya ya kitu kama mabaki ya ndege ya Malaysia iliyopotea.

 

10 years ago

BBCSwahili

Haya ni mabaki ya ndege ya Malaysia?

Ufaransa imesema inachunguza mabaki ya ndege yanayodaiwa kupatikana ndani ya Bahari ya Hindi kama ni ya ndege ya Malaysia ya MH370

 

10 years ago

BBCSwahili

Ufaransa kuchunguza mabaki ya ndege

Mtu anayedaiwa kubaini ushahidi wa kwanza wa mabaki ya Ndege ya Malysia iliyopotea ameelezea mazingira ya yalipopatikana

 

11 years ago

BBCSwahili

Picha sio za mabaki ya ndege ya Malaysia

Serikali ya Malaysia imesema kuwa picha za Satelite za kile kinachodhaniwa kuwa vifusi vya ndege ya Malaysia zilitolewa kimakosa na wala sio za ndege hiyo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani