Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAKATA LA MGAGA WA DIAMOND: MKE WA MWENYE GARI LILILOIBWA AIBUKA, AFUNGUKA

Stori:  Sifael Paul
Lile sakata la kukamatwa kwa yule mganga wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ustadh Yahya kwa msala wa wizi wa gari, limechukua sura mpya baada ya mke wa mwenye gari, Edric Magayane kuibuka na kufunguka mazito. Mganga wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ustadh Yahya. Akizungumza na gazeti hili, mke huyo aliyejitambulisha kwa jina la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MKE ASIMULIA MAPYA SAKATA LA MAUAJI YA MTEJA WA GARI

Haruni Sanchawa na Shani Ramadhani/Uwazi LILE sakata la mauaji ya mteja wa gari aliyekutwa amefukiwa katika nyumba moja Ilala Sharifu Shamba jijini Dar, Farahan Habusali Maluli (31) limeingia katika sura mpya baada ya mkewe, Tatu Ally (29) kuelezea mambo mapya juu ya tukio hilo la kusikitisha. ...Mtuhumiwa akiwa chini ya ulinzi. Akizungumza na Uwazi juzi nyumbani kwake, Maramba Mawili, Kinondoni, Dar, Tatu alisema mumewe...

 

11 years ago

BBCSwahili

Gari la Rais lililoibwa Kenya lapatikana Uganda

Maafisa wakuu wa Interpol wamethibitisha kuwa gari la ulinzi wa Rais wa Kenya lililoibwa mjini Nairobi wiki jana limepatikana nchini Uganda

 

11 years ago

Habarileo

Mbaroni akidaiwa kukutwa na gari lililoibwa Dar

POLISI mkoani Manyara imemkamata mkazi wa mjini Babati, Rajabu Marobo (30) ikimtuhumu kuhusika na wizi wa gari lililoibwa jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

MWENYE PICHA NA KOMBA AIBUKA

Stori: Mwandishi Wetu
SIKU chache zimekatika baada ya tukio la kusambaa mitandaoni kwa picha tata zenye pozi kati ya mheshimiwa Komba na mrembo aliyejulikana kwa jina moja la Angel. Angel Kissanga, mkazi wa Kinondoni jijini Dar anayedaiwa kupiga picha tata na mheshimiwa Komba. Hatimaye mrembo huyo ameibuka na kuanika mambo mazito kama si makubwa, Risasi Mchanganyiko linakudadavulia. Awali katika gazeti hili toleo la Jumamosi...

 

10 years ago

Habarileo

Pinda afunguka sakata la Escrow

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema taarifa nyingi za mjadala wa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme kati ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) ambao unaendelea bungeni, umeongezwa chumvi na wakati ukifika Watanzania watatolewa taarifa kamili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hussein Machozi afunguka sakata la kufumaniwa Kenya

MWANAMUZIKI aliyoibuliwa na wimbo wa ‘kwa ajili yako’ Hussein Machozi amefunguka na kuelezea tukio la kufumaniwa na mke wa mwanasiasa nchini Kenya na kudai kuwa jambo hilo halina ukweli wowote....

 

10 years ago

Mwananchi

Mke wa Dk Slaa afunguka

Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kuzungumza na gazeti hili na kusema yupo salama, mke wake, Josephine Mushumbusi amekanusha tuhuma zilizozagaa kuwa ndiye aliyemshauri kiongozi huyo wa Chadema kujiuzulu na kumzuia kushiriki vikao muhimu vya chama.

 

11 years ago

Habarileo

Sakata la gari la wagonjwa lavunja mkutano

WAKAZI wa Kata ya Mtowisa mkoani Rukwa wamegomea mkutano wa hadhara baina yao na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, wakishinikiza gari la wagonjwa lirejeshwe kwenye kituo chao cha afya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani