Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gari la Rais lililoibwa Kenya lapatikana Uganda

Maafisa wakuu wa Interpol wamethibitisha kuwa gari la ulinzi wa Rais wa Kenya lililoibwa mjini Nairobi wiki jana limepatikana nchini Uganda

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mbaroni akidaiwa kukutwa na gari lililoibwa Dar

POLISI mkoani Manyara imemkamata mkazi wa mjini Babati, Rajabu Marobo (30) ikimtuhumu kuhusika na wizi wa gari lililoibwa jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

BBCSwahili

Gari la pili la wavamizi lapatikana Paris

Polisi wa Ufaransa wamelipata gari la pili linalofikiriwa lilitumika katika mashambulio ya Ijumaa usiku mjini Paris.

 

11 years ago

GPL

SAKATA LA MGAGA WA DIAMOND: MKE WA MWENYE GARI LILILOIBWA AIBUKA, AFUNGUKA

Stori:  Sifael Paul
Lile sakata la kukamatwa kwa yule mganga wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ustadh Yahya kwa msala wa wizi wa gari, limechukua sura mpya baada ya mke wa mwenye gari, Edric Magayane kuibuka na kufunguka mazito. Mganga wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ustadh Yahya. Akizungumza na gazeti hili, mke huyo aliyejitambulisha kwa jina la...

 

9 years ago

BBCSwahili

Bomu lapatikana kanisani Kenya

Waumini katika kanisa moja nchini Kenya wanakila sababu ya kumshukuru mola wao baada ya bomu iliyokuwa imetegwa ndani ya kanisa kupatikana wakati wa ibada.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kaburi la halaiki lapatikana Kenya

Wakaazi wa mji wa Mandera, Kaskazini Mashariki mwa Kenya wanasema wamegundua zaidi ya miili 20 yaliyozikwa kwenye makaburi ya jumla.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ni gari la polisi au Rais lililoibiwa Kenya?

Taarifa za kutatanisha za kuibiwa kwa gari la ulinzi wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta zimeibuka nchini humo, ingawa zimekanushwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wezi wa gari la Rais Kenya mahakamani

Watu 5 akiwemo raia 1 Uganda pamoja na fundi wa magari mkenya wamekamatwa kwa wizi wa gari la msafara wa ulinzi wa Rais Kenyatta

 

10 years ago

BBCSwahili

Uganda yazindua gari lisilotumia petroli

Uganda imezindua gari maalum la kipekee katika kanda ya Afrika mashariki maarufu kama hybrid electric car.

 

11 years ago

Mwananchi

Lori lenye kahawa lililoibwa lasakwa

Polisi nchini wameanzisha uchunguzi utakaofanikisha kukamatwa kwa lori la Burundi lililoibwa Dar Es Salaam likiwa na shehena ya magunia 300 ya kahawa kutoka Burundi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani