Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uganda yazindua gari lisilotumia petroli

Uganda imezindua gari maalum la kipekee katika kanda ya Afrika mashariki maarufu kama hybrid electric car.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ghana yazindua gari lake

Wakati unapoangazia swala la utengezaji magari mataifa ya Afrika kwa kawaida hayaorodheshwi katika swala hilo.

 

10 years ago

StarTV

Airtel yazindua promoseni mteja kujishindia gari.

Na Grace Semfuko,

Dar Es Salaam.

 

Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel imezindua promosheni ya Airtel Yatosha zaidi ambapo wateja wanaotumia vifurushi vya Airtel yatosha watapata fursa kujishindia gari aina ya IST lenye thamani ya Shilingi milioni 15.

 

Promosheni hiyo ambayo itafanyika katika kipindi cha miezi miwili imelenga kutoa zawadi ya gari moja kila siku kwa wateja wake waliojiunga na kifurushi cha siku, wiki na mwezi.

 

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Airtel Beatrice...

 

10 years ago

BBCSwahili

Gari la Rais lililoibwa Kenya lapatikana Uganda

Maafisa wakuu wa Interpol wamethibitisha kuwa gari la ulinzi wa Rais wa Kenya lililoibwa mjini Nairobi wiki jana limepatikana nchini Uganda

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Uganda yazindua sera mpya ya usafiri kudhibiti maambukizi

Serikali ya Uganda imezindua sera karantini kwa wasafiri wanaowasili nchini humo kutoka mataifa 16 yaliyo kwenye 'hatari zaidi' ili kuzuia kusambaa kwa virusi vya Corona.

 

10 years ago

Michuzi

Fastjet yazindua safari mpya kati ya Kilimanjaro na Entebbe, Uganda

Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (Kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika uzinduzi wa safari mpya kati ya Kilimanjaro, Tanzania na Entebbe, Uganda. Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe wiki iliyopita. Kushoto ni Mkurugenzi asiye mtendaji wa Fastjet Tanzania, Lawrence Masha.Meneja Mkuu wa shirika la Ndege la Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kushoto aliyeinama) na Mkurugenzi asiye mtendaji...

 

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

10 years ago

Vijimambo

Askari Polisi Wagongwa Na Gari Baada Ya Gari Hiyo Kukataa


Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akapita nao.

 

9 years ago

Vijimambo

Kigulu Makete hawajawahi kuona gari tangu uhuru, Mbunge akiri, tatizo kukosa barabara, asema mwaka huu wataona gari

By Shaban Lupimo, Mwananchi
Makete. Haitashangaza kusikia wakazi wa kata fulani hawajawahi kuona lami tangu Tanzania ipate uhuru mwaka 1961 kwani katika hali ya kawaida kunakuwapo miundombinu ya barabara ambayo hata kama si kwa kiwango cha kuridhisha, magari yanafika kila kukicha.

Hata kama hayafiki kila siku, lakini wananchi wana uwezo wa kutumia usafiri mwingine kama pikipiki, baiskeli na mikokoteni kuwahi shughuli zao na kusafirisha bidhaa mbalimbali na kujenga uchumi.

Hata hivyo, hali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani