Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ghana yazindua gari lake

Wakati unapoangazia swala la utengezaji magari mataifa ya Afrika kwa kawaida hayaorodheshwi katika swala hilo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Wastara Azimia Ndani ya Gari Lake

MASKINI! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amezimia ndani ya gari, kisa kikiwa ni sakata la dada zake kuibiana mume, Amani linaweza kuandika.

Mkasa huo wa kusikitisha ulijiri mapema wiki hii, Kinondoni, Dar ambapo staa huyo alikuwa ameegesha gari lake pembeni mwa barabara.

Kabla ya kuzimia, Wastara aliliambia Amani kuwa, kitendo cha mdogo wao (mtoto wa mama yao mdogo), Janat kupora mume wa dada yake, Naima Juma (dada wa damu wa Wastara) aitwaye Masoud na kufunga naye ndoa kimyakimya,...

 

9 years ago

Mtanzania

The Game amsaka aliyevunja gari lake

The GameLOS ANGELES, Marekani

MSANII wa hip hop nchini Marekani, Jayceon Taylor ‘The Game’, amesema anamtafuta mtu aliyevunja vioo vya gari lake aina ya Lamborghini.

Mtandao wa TMZ umeeleza kwamba, msanii huyo alivamiwa na watu wasiojulikana na kuvunja vioo vya gari hilo likiwa limeegeshwa eneo la barabara.

Kupitia akaunti ya mtandao wa Instagram, msanii huyo amesema anamtafuta mtu aliyehusika na tukio hilo ili akabiliane naye.

“Kama kuna mtu anamjua mhusika wa tukio hilo anijulishe, nitatoa zawadi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uganda yazindua gari lisilotumia petroli

Uganda imezindua gari maalum la kipekee katika kanda ya Afrika mashariki maarufu kama hybrid electric car.

 

9 years ago

Mtanzania

Mgombea apigwa, gari lake lavunjwa vioo

RPCNa Walter Mguluchuma, Katavi

ZIKIWA zimesalia siku 32 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, mgombea ubunge Jimbo la Mpanda Vijijini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mussa Kantambi, amepata kipigo kutoka kwa wafusi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Akizungumza na MTANZANIA mjini Mpanda jana, Kantambi  alisema alipigwa vibaya, huku gari lake likivunjwa kioo cha mbele baada ya kupita eneo ambalo CCM walikuwa wakifanya mkutano.

Alisema tukio hilo,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu azikwa ndani ya gari lake Nigeria

Katika siku za hivi karibuni picha za mtu ambaye alizikwa ndani ya gari aina ya Hummer SUV Jeep nchini Nigeria zimekuwa zikienea .

 

10 years ago

StarTV

Airtel yazindua promoseni mteja kujishindia gari.

Na Grace Semfuko,

Dar Es Salaam.

 

Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel imezindua promosheni ya Airtel Yatosha zaidi ambapo wateja wanaotumia vifurushi vya Airtel yatosha watapata fursa kujishindia gari aina ya IST lenye thamani ya Shilingi milioni 15.

 

Promosheni hiyo ambayo itafanyika katika kipindi cha miezi miwili imelenga kutoa zawadi ya gari moja kila siku kwa wateja wake waliojiunga na kifurushi cha siku, wiki na mwezi.

 

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Airtel Beatrice...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani