Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wastara Azimia Ndani ya Gari Lake

MASKINI! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amezimia ndani ya gari, kisa kikiwa ni sakata la dada zake kuibiana mume, Amani linaweza kuandika.

Mkasa huo wa kusikitisha ulijiri mapema wiki hii, Kinondoni, Dar ambapo staa huyo alikuwa ameegesha gari lake pembeni mwa barabara.

Kabla ya kuzimia, Wastara aliliambia Amani kuwa, kitendo cha mdogo wao (mtoto wa mama yao mdogo), Janat kupora mume wa dada yake, Naima Juma (dada wa damu wa Wastara) aitwaye Masoud na kufunga naye ndoa kimyakimya,...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mtu azikwa ndani ya gari lake Nigeria

Katika siku za hivi karibuni picha za mtu ambaye alizikwa ndani ya gari aina ya Hummer SUV Jeep nchini Nigeria zimekuwa zikienea .

 

10 years ago

GPL

WASTARA AZIMIA KISA MAPENZI

Waandishi wetu/Mchanganyiko
DIVA wa filamu nchini, Wastara Juma ambaye kwa sasa anaripotiwa kuwa katika mapenzi na mwigizaji mwenzake, Bond Bin Suleiman anadaiwa kupoteza fahamu mara tu baada ya kupewa taarifa kuwa mpenziwe huyo amepata mtoto wa nne kwa mwanamke mwingine, Risasi Mchanganyiko linakupa stori kamili. DIVA wa filamu nchini, Wastara Juma akiwa hospitali baada ya kuzimia. TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ghana yazindua gari lake

Wakati unapoangazia swala la utengezaji magari mataifa ya Afrika kwa kawaida hayaorodheshwi katika swala hilo.

 

9 years ago

Mtanzania

The Game amsaka aliyevunja gari lake

The GameLOS ANGELES, Marekani

MSANII wa hip hop nchini Marekani, Jayceon Taylor ‘The Game’, amesema anamtafuta mtu aliyevunja vioo vya gari lake aina ya Lamborghini.

Mtandao wa TMZ umeeleza kwamba, msanii huyo alivamiwa na watu wasiojulikana na kuvunja vioo vya gari hilo likiwa limeegeshwa eneo la barabara.

Kupitia akaunti ya mtandao wa Instagram, msanii huyo amesema anamtafuta mtu aliyehusika na tukio hilo ili akabiliane naye.

“Kama kuna mtu anamjua mhusika wa tukio hilo anijulishe, nitatoa zawadi...

 

9 years ago

Mtanzania

Mgombea apigwa, gari lake lavunjwa vioo

RPCNa Walter Mguluchuma, Katavi

ZIKIWA zimesalia siku 32 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, mgombea ubunge Jimbo la Mpanda Vijijini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mussa Kantambi, amepata kipigo kutoka kwa wafusi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Akizungumza na MTANZANIA mjini Mpanda jana, Kantambi  alisema alipigwa vibaya, huku gari lake likivunjwa kioo cha mbele baada ya kupita eneo ambalo CCM walikuwa wakifanya mkutano.

Alisema tukio hilo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani