Mgombea apigwa, gari lake lavunjwa vioo
Na Walter Mguluchuma, Katavi
ZIKIWA zimesalia siku 32 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, mgombea ubunge Jimbo la Mpanda Vijijini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mussa Kantambi, amepata kipigo kutoka kwa wafusi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na MTANZANIA mjini Mpanda jana, Kantambi alisema alipigwa vibaya, huku gari lake likivunjwa kioo cha mbele baada ya kupita eneo ambalo CCM walikuwa wakifanya mkutano.
Alisema tukio hilo,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-HCYR_Y0cGxk/VIypujKJxHI/AAAAAAAARkE/AqjsfnChqqs/s72-c/IMGP3964%5B4%5D.jpg)
Lema avamiwa na ‘UVCCM’, gari yake lavyunjwa vioo; alazimika kufyatua risasi tatu hewani kujiokoa!
![](http://2.bp.blogspot.com/-HCYR_Y0cGxk/VIypujKJxHI/AAAAAAAARkE/AqjsfnChqqs/s640/IMGP3964%5B4%5D.jpg)
Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema amekubwa na tukio la aina yake maeneo ya Clock Tower Jijini hapa ambapo vijana wanaoaminika kuwa vijana “wafuasi wa UVCCM” walishamshambulia kwa mawe na kufanikiwa kuvunja kioo cha nyuma ubavuni cha gari la Mbunge huyo.
Tukio hilo la kustaajabisha na kutiasha katika swala la amani na usalama kipindi hiki cha kampeni za Serikali za mitaa lilitokea kwenye Sheli iliyopo mkabala na New Arusha...
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Ghana yazindua gari lake
9 years ago
Bongo Movies10 Sep
Wastara Azimia Ndani ya Gari Lake
MASKINI! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amezimia ndani ya gari, kisa kikiwa ni sakata la dada zake kuibiana mume, Amani linaweza kuandika.
Mkasa huo wa kusikitisha ulijiri mapema wiki hii, Kinondoni, Dar ambapo staa huyo alikuwa ameegesha gari lake pembeni mwa barabara.
Kabla ya kuzimia, Wastara aliliambia Amani kuwa, kitendo cha mdogo wao (mtoto wa mama yao mdogo), Janat kupora mume wa dada yake, Naima Juma (dada wa damu wa Wastara) aitwaye Masoud na kufunga naye ndoa kimyakimya,...
9 years ago
Mtanzania07 Sep
The Game amsaka aliyevunja gari lake
LOS ANGELES, Marekani
MSANII wa hip hop nchini Marekani, Jayceon Taylor ‘The Game’, amesema anamtafuta mtu aliyevunja vioo vya gari lake aina ya Lamborghini.
Mtandao wa TMZ umeeleza kwamba, msanii huyo alivamiwa na watu wasiojulikana na kuvunja vioo vya gari hilo likiwa limeegeshwa eneo la barabara.
Kupitia akaunti ya mtandao wa Instagram, msanii huyo amesema anamtafuta mtu aliyehusika na tukio hilo ili akabiliane naye.
“Kama kuna mtu anamjua mhusika wa tukio hilo anijulishe, nitatoa zawadi...
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
Mtu azikwa ndani ya gari lake Nigeria