The Game amsaka aliyevunja gari lake
LOS ANGELES, Marekani
MSANII wa hip hop nchini Marekani, Jayceon Taylor ‘The Game’, amesema anamtafuta mtu aliyevunja vioo vya gari lake aina ya Lamborghini.
Mtandao wa TMZ umeeleza kwamba, msanii huyo alivamiwa na watu wasiojulikana na kuvunja vioo vya gari hilo likiwa limeegeshwa eneo la barabara.
Kupitia akaunti ya mtandao wa Instagram, msanii huyo amesema anamtafuta mtu aliyehusika na tukio hilo ili akabiliane naye.
“Kama kuna mtu anamjua mhusika wa tukio hilo anijulishe, nitatoa zawadi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania21 Oct
The Game amnunulia gari P. Diddy
NEWYORK, Marekani
RAPA Jayceon Terrell ‘The Game’, amemnunulia zawadi ya gari aina ya Ferrari msanii mwenzake, Sean Combs ‘P.Diddy’, baada ya kumkutanisha na prodyuza Dr. Dre.
Katika mtandao wa TMZ, Game alieleza kwamba haikuwa rahisi kufanya kazi na Dr Dre, lakini kupitia Diddy aliweza kufanikisha ndoto yake na mtayarishaji huyo kazi zilizompa mafanikio aliyonayo hivi sasa.
“Bila Diddy nisingepata dili la kurekodi na Dr, hivyo kama shukrani nimeamua kumpa zawadi hii ndogo ya gari,...
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Ghana yazindua gari lake
9 years ago
Bongo Movies10 Sep
Wastara Azimia Ndani ya Gari Lake
MASKINI! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amezimia ndani ya gari, kisa kikiwa ni sakata la dada zake kuibiana mume, Amani linaweza kuandika.
Mkasa huo wa kusikitisha ulijiri mapema wiki hii, Kinondoni, Dar ambapo staa huyo alikuwa ameegesha gari lake pembeni mwa barabara.
Kabla ya kuzimia, Wastara aliliambia Amani kuwa, kitendo cha mdogo wao (mtoto wa mama yao mdogo), Janat kupora mume wa dada yake, Naima Juma (dada wa damu wa Wastara) aitwaye Masoud na kufunga naye ndoa kimyakimya,...
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
Mtu azikwa ndani ya gari lake Nigeria
9 years ago
Mtanzania22 Sep
Mgombea apigwa, gari lake lavunjwa vioo
Na Walter Mguluchuma, Katavi
ZIKIWA zimesalia siku 32 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, mgombea ubunge Jimbo la Mpanda Vijijini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mussa Kantambi, amepata kipigo kutoka kwa wafusi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na MTANZANIA mjini Mpanda jana, Kantambi alisema alipigwa vibaya, huku gari lake likivunjwa kioo cha mbele baada ya kupita eneo ambalo CCM walikuwa wakifanya mkutano.
Alisema tukio hilo,...