Hoja ya ufisadi yawagawa Ukawa, CCM
Tangu kuzinduliwa kwa kampeni, hoja ya ufisadi imeonekana kuvigawa vyama vikuu vinavyopambana kwa karibu huku mgombea wa urais wa CCM, Dk John Magufuli akiitumia kama kete muhimu ya kumpatia ushindi na kuwapunguza makali wapinzani wake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Jun
BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda
10 years ago
Mwananchi26 Feb
Ukawa waibua hoja nane nzito
9 years ago
Raia Mwema23 Sep
Kwa nini Ukawa inatumia hoja ya mfumo?
VIONGOZI wa vyama vinavyounda Ukawa kwa makusudi na kwa malengo maalumu wameamua kubadili mtazamo
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Mjumbe Arfi arudisha hoja za Ukawa bungeni
11 years ago
Habarileo11 Jun
Mangula asubiri Ukawa wajibu hoja za kuhongwa mabilioni
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Phillip Mangula, amesema vyama vinavyounda Umoja wa Katiba Tanzania (Ukawa), vinasubiriwa kujibu tuhuma zinazokabili umoja huo, za kuhongwa mabilioni ya Shilingi, ili wasihudhurie katika Bunge Maalumu la Katiba, linalotarajiwa kuanza mwanzoni mwa Agosti mwaka huu.
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Msifiche uvunguni kelele za ufisadi, UKAWA waambiwa
Mgombea ubunge jimbo la Singida mjini, Mwalimu Mussa Ramadhani Sima, akiomba kura kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika maeneo ya soko kuu mjini Singida.
Mkereketwa maarufu wa CCM jimbo la Singida mjini na mkazi wa Majengo, Mohammed Salum Masanja, akiwa na mtoto wake wa kiume kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika maeneo ya soko kuu. Mohammed amedai kuwa kila mkutano wa kampeni za CCM anahudhuria na mtoto wake ikiwa ni mpango mahususi kumjengea mazingira mazuri mtoto huyo aje...
10 years ago
Mtanzania13 Jan
Hoja ya fedha yaivuruga CCM
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru amesema suala la matumizi ya fedha kwa viongozi wa kitaifa na kimataifa lilikuwapo katika karne nyingi zilizopita.
Kutokana na hali hiyo, amesema anashangazwa na baadhi ya viongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kulishupalia suala hilo na hata kuwanyooshea vidole wanachama wengine wanaoliona kama geni.
Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam jana, Kingunge alisema ni wazi pamoja na kuwapo kwa suala hilo, lakini halipaswi kuwa...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Kashfa ufisadi CCM
SHULE za Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimekumbwa na taharuki baada ya bodi yake ya wadhamini kuwalazimisha wakuu wa shule hizo kulipa ada ya sh milioni 2.5...
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Ufisadi CCM, Chadema
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ameibua ufujaji wa mabilioni ya fedha kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Katika ripoti ya ukaguzi wa CAG kwa vyama hivyo aliyoikamilisha Septemba mwaka jana kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa namba tano ya mwaka 1992, sehemu ya 14 (1)(b) imeibua madudu hayo.
Taarifa hiyo ya CAG ambayo MTANZANIA imeiona, imechambua hesabu za Chadema na CCM na kusema wakati wa...