Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hoseah: Chagueni kwa ushawishi wa hoja sio fedha

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU), Dk Edward Hoseah amewatahadharisha wananchi kuwachagua viongozi bora na waadilifu ambao wana ushawishi wa hoja na sio ushawishi wa fedha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ulemavu sio hoja kwa shabiki Somalia

Ahmed Hassan Osman, ni mlemavu wa macho na anaishi mjini Mogadishu lakini kikubwa ni kwamba hapitwi na mechi ya soka.

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI JAMES MBATIA AWATAKA WANASIASA KUSHINDANA KWA HOJA SIO KULUMBANA

* Kauli ya Rais Magufuli ya Uchaguzi mkuu  kuwa huru na haki yawafurahisha vyama vya siasa
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya Jamii

MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia amesema kuwa Rais Dk.John Magufuli amewathibitishia vyama vya upinzani nchini Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unaotarajia kufanyika Oktoba utakuwa wa huru na haki.

Mbatia ameyasema hayo leo Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Dk.John Magufuli ambapo katika mazungumzo yao moja ya...

 

11 years ago

Michuzi

Hoja ya haja: Viongozi wa Siasa tupatieni katiba ya watu wote sio ya vyama

Mheshimiwa michuzi tunashukulu sana kwa kazi yako ya kutujulisha yanayoendelea TANZANIA leo naomba unipe nafasi niweke ya moyoni mwangu na maoni yangu kuhusu huu mstakabali wa kupata katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania mengi yamekuwa yakisemwa sana kuhusu hii katiba au ni muundo ghani wa muungano tunaoutaka,watu wengi na wana siasa wamesahu kwamba muungano huu na katiba hii ya zamani ndio umetufanya tuwe na undungu  na pia tuwe na amani mpaka hapa tulipo watu wengine...

 

10 years ago

Mtanzania

Hoja ya fedha yaivuruga CCM

Pic-4-1MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru amesema suala la matumizi ya fedha kwa viongozi wa kitaifa na kimataifa lilikuwapo katika karne nyingi zilizopita.
Kutokana na hali hiyo, amesema anashangazwa na baadhi ya viongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kulishupalia suala hilo na hata kuwanyooshea vidole wanachama wengine wanaoliona kama geni.
Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam jana, Kingunge alisema ni wazi pamoja na kuwapo kwa suala hilo, lakini halipaswi kuwa...

 

10 years ago

Habarileo

‘Vijana chagueni viongozi wenye maslahi kwa taifa’

WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imehimiza vijana kuhakikisha wanachagua viongozi wenye maslahi kwa taifa katika uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa Elisante Ole Gabriel alitoa mwito huo jijini Dar es Salaam jana katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani.

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa fedha Mhe.Saada Mkuya Kujibu Hoja za Wabunge jioni ya Leo

   Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Mwingulu Nchemba kulia akijadiliana na Maofisa wa Wizara ya Fedha,wakati wakitoka kwenye Ukumbi wa Msekwa walikokuwa na kikao cha kuandaa majibu ya Hoja za Wabunge kwa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2014-2015.Baada ya mjadala uliochukuwa takribani wiki nzima.Bajeti ya Serikali Ilisomwa na waziri wa Fedha Alhamisi iliyo[pita na Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya nakufuatiwa na uchangiwaji na mjadala kwa kuchangiwa na Wabunge mbalambali.   Waziri wa Fedha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazazi wapoteza ushawishi wa maadili kwa watoto

HIVI sasa wazazi wengi hawana mwamko wa kuzungumza na watoto wao kuhusu maadili. Mamlaka hayo ya lazima kwao wameziachia televisheni na mitandao ya kijamii ambayo imekuwa mwalimu wa vijana kujifunza...

 

9 years ago

MillardAyo

Wajue wasanii watano wenye ushawishi mkubwa Africa kwa mwaka 2015… Mtanzania yupo mmoja tu!

Nimekutana na jarida la New African Magazine toleo ya December 2015 na ndani ya jarida hilo nikakutana na list ya watu waliotajwa kama watu wenye ushawishi mkubwa zaidi Africa kwa mwaka huu wa 2015… kwa upande wa burudani nimekutana na mastaa watano huku Mtanzania akiwemo mmoja tu! Hawa ndio Africa Most Influencial Africans in Media, […]

The post Wajue wasanii watano wenye ushawishi mkubwa Africa kwa mwaka 2015… Mtanzania yupo mmoja tu! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani