Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK agusia ujana urais 2015

 Wakati mbio za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu 2015 zikianza kushika kasi nchini, Rais Jakaya Kikwete amewataka vijana kumchagua mtu anayefanana na kijana kurithi nafasi yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Urais ni zaidi ya ujana’

Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwataka vijana kumchagua mtu, “anayefanana na kijana” kurithi nafasi yake katika Uchaguzi Mkuu 2015, wanasiasa na wasomi nchini wamesema sifa za mtu anayefaa kuwa rais ni zaidi ya ujana.

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba: Ujana siyo sifa ya urais

Hoja ya kutumia sifa ya ujana kama kigezo cha kuwania urais imezidi kupata upinzani baada ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kusema jambo la muhimu zaidi ni uwezo na uadilifu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Khamis Kigwangallah: Tunahitaji fikra za ujana kwenye urais

JINA la Dk. Khamis Kigwangallah ambaye ni mbunge wa Nzega (CCM) si jina geni  katika siasa za Tanzania. Jina hili katika siku za hivi karibuni limetajwa tajwa mara nyingi baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Utabiri: Mgombea Urais kufa akitafuta urais 2015



Mrithi wa Mnajimu na Mtabiri wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein, ametabiri kwamba kiongozi mmoja mzee aliye kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais, atadondoka ghafla kwenye jukwaa na kufa mwakani.Amesema kiongozi huyo, ambaye hakumtaja jina, atafariki dunia baada ya tukio hilo wakati akikimbizwa hospitali.Alitangaza utabiri huo, alipozungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kutumia kwa utabiri...

 

9 years ago

Bongo5

Baba yake na Beyonce agusia uwezekano wa ziara na album mpya ya Destiny’s Child

Ikiwa ni takriban miaka 10 tangu itoke album mpya ya Destiny’s Child, baba yake na Beyonce, Mathew Knowles amesema huenda kundi hilo likaungana kwa mara nyingine. Akiongea na mtandao wa The Huffington Post, Knowles ambaye bado anasimamia kazi za kundi hilo alisema mashabiki watarajie kitu. “Nina matumaini makubwa kuwa wasichana hawa watarejea na album na […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Urais balaa 2015

MBIO za kusaka urais katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwaka 2015, zimeligawa taifa katika misingi ya ujana na uzee, Tanzania Daima Jumapili, limebaini. Baadhi ya wanasiasa kutoka chama tawala na...

 

10 years ago

Mwananchi

Kumekucha urais 2015

>Kadri uchaguzi mkuu unavyokaribia ndivyo makundi mbalimbali ya jamii yanavyoibuka kwa staili tofauti za kuwashawishi  baadhi ya makada ili watangaze nia ya kuwania urais ndani ya CCM.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

MBIO ZA URAIS 2015



 Ngeleja naye afunguka
NA PETER KATULANDA, MWANZA
WAKATI vijana wakiendelea kupigiwa upatu katika harakati za kuwania urais katika uchaguzi mkuu mwakani, Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja, ameibuka na kuweka mambo hadharani.

Ngeleja, ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini na miongoni mwa wanasiasa vijana wanaotajwa kuwa wanatosha kwenye nafasi hiyo, amesema ni mapenzi ya Mungu ndiyo yatamwongoza kuwania nafasi hiyo au kuendelea na ubunge.
“Kwa sasa naendelea kutii maagizo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani