Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Giza nene zaidi makada urais CCM

Dar es Salaam. Hali bado ni tete kwa makada sita waliofungiwa na CCM kujihusisha na masuala ya uchaguzi baada ya chama hicho tawala kueleza kuwa mchakato wa kuwachunguza haujakamilika na adhabu yao inaweza kuendelea hata baada ya vikao vya juu vitakavyofanyika mwishoni mwa wiki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

UDA giza nene

KAMATI ya Haki Kinga na Madaraka ya Bunge, imeanza kazi ya kuchunguza na kumhoji mmiliki wa kampuni ya usafiri ya mabasi jijini Dar es Salaam, Robert Kisena. Kisena, anadaiwa kuwatuhumu...

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge Maalumu giza nene

Kadiri siku zinavyosogea kitendawili kuhusu hatima ya Bunge Maalumu kimeendelea kuwa kigumu na sasa kinachosubiriwa ni matokeo ya mkutano baina ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa ambavyo ni wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Giza nene Bunge la Katiba

MATUMAINI ya Bunge Maalum la Katiba kuendelea na vikao vyake mpaka mwisho, yanazidi kufifia kutokana na jitihada za mashauriano baina ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa...

 

9 years ago

Habarileo

Twiga Stars giza nene

TIMU ya taifa soka ya taifa ya wanawake Twiga Stars jana ilishindwa kwenda Congo Brazzaville, kushiriki Michezo ya Mataifa ya Afrika kwa sababu ya ukata, imeelezwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Giza nene mabilioni ya IPTL, Tanesco

Wakati haijafahamika nani aliyelipwa mabilioni ya shilingi yaliyokuwa kwenye akaunti ya Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutokana na mvutano baina ya Tanesco na Kampuni ya IPTL, imebainika kuwa Bunge liliwahi kuagiza fedha hizo zisichukuliwe mpaka mitambo ya IPTL itakapokuwa chini ya Tanesco mwakani.

 

11 years ago

Mwananchi

Giza nene latanda ndani ya Chadema

>Giza nene limeendelea kutanda ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya juzi kulazimika kuongeza muda wa kikao cha Kamati Kuu kusubiri uamuzi wa Mahakama Kuu kuhusu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wake Zitto Kabwe.

 

10 years ago

Mtanzania

Makada sita wa urais CCM kujadiliwa Kamati Kuu ijayo

gzNA ELIAS MSUYA, ZANZIBAR

WAKATI vuguvugu la kuwania kuteuliwa kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) likiendelea kupamba moto, Kamati Kuu (CC) ya chama hicho imesema adhabu waliyopewa makada sita walioonyesha nia ya kutaka nafasi hiyo, itapitiwa tena Februari na watakaobainika kuendelea kufanya makosa wataongezewa adhabu.
Katibu Mwenezi wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye, alisema suala hilo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa na kikao hicho kilichokutana jana kisiwani...

 

5 years ago

Michuzi

MAKADA WA CCM WALIOCHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR LEO

Katibu wa NEC,Idara ya Oganazesheni CCM Zanzibar Cassian Galos Nyimbo (kushoto), akimkabidhi fomu Kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Mbwana Bakari Juma(kulia) aliyechukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais kupitia CCM, huko Afisi Kuu ya CCM Kiwandui Zanzibar. KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Mbwana Bakari Juma aliyechukua fomu ya kugombea Uraiswa Zanzibar kupitia CCM, akipewa maelezo na Afisa Mwandamizi wa Idara ya Oganazasheni Ndugu Abdi Mahmoud Abdi (kulia)  baada ya kukabidhiwa...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE WAWILI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YA URAIS CCM ZANZIBAR,MAKADA WAFIKIA 26

-WALIOREJESHA FOMU WAFIKIA WANNE

NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR.

WANAMAMA wawili  wamejitokeza leo 24 Juni kuchukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar  kupitia tiketi ya Chama  Cha Mapinduzi CCM.

Mwanamama wa kwanza ni Husna Attai Masoud aliwasili viwanja vya Afisi Kuu ya CCM -Zanzibar  zilizopo eneo la  Kisiwandui majira ya saa Nne akiwa amesindikizwa na wapambe wake watano wote  Wanamama akiwemo dereva aliyewaendesha na

kisha kupanda hadi gorofa ya pili kwa Katibu wa Idara ya Organization...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani