Life style: Manaiki Sanga, Mkali wa “Selfies” Hapa Bongo!!!
‘Selfie’ ni aina ya picha ambazo watu hujipiga wenyewe kwa kutumia camera za simu zao au digital camera na mara nyingi huwa ni kwaajili ya ku-share kwenye mitandao ya kijamii.
Leo katika pitiapitia za kurasa za waigizaji wa hapa bongo, nimebaini kuwa mwigizaji Manaiki Sanga ndie msanii ambae amepiga selfies kali zaidi, hapa nazungumzia zile zinazo jumuisha watu zaidi ya mmoja.
Kama unam-follow makali huyu kwenye mtandao wa instagram, utakubaliana na mimi kuwa jamaa anapenda sana mtindo...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMSANII MANAIKI SANGA ATINGA GLOBAL TV ONLINE LEO
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s72-c/shemeji.jpg)
Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA
![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s640/shemeji.jpg)
RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...
10 years ago
GPLTASWIRA ZAIDI ZA MKALI WA BONGO FLEVA DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOPOKELEWA BONGO, SASA KUPELEKA TUZO DAR LIVE
10 years ago
Bongo Movies24 Jan
Life Style: Wema Ajuta Kuweka Kope Bandia
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL, Wema alisema awali alikuwa hawezi kutoka kwenda kokote bila kuweka kope hizo na hata asipozibandika anajisikia vibaya lakini baada ya kumharibia muonekano wake wa asili, hataki hata kusikia.
“Jamani hakuna kitu ambacho nimekichukia kwa hivi sasa kama kope za bandia sina tena ushawishi nazo kabisa zimeharibu...
10 years ago
Bongo Movies03 Jan
Life Style:Napenda Kuchezea Kichwa Changu-Wolper
Hakuna anaeweza kupinga kuwa mrembo na moja kati ya waigizaji pendwa wa kike hapa bongo, Jackline Masawe “Wolper”ni miongoni mwamastaa wa kike wachache ambao wanapenda kubadilisha mitindo ya nywele zao mara kwa mara.
Kwa wanaomfuatilia mitandaoni watakubali kuwa haiwezi ikapita wiki bila mwanadada huyu kuonekana na “style” mpya ya nywele.
Hatimaye leo akiwa katika mtindo mpya (picha hapo juu) wa nywele, wolper alifunguka na kusema kuwa yeye anapenda kuchezea kichwa chake na kuwaonya watu...
10 years ago
Bongo Movies28 Dec
LIFE STYLE:Kajala na Binti Yake Paula Wananikosha Sana
Upendo wa mama kwa mtoto wake hauwezi kufananishwa na kitu chochote hapa duniani,kwa hili nadhani hakuna anaebisha.Ila ni ukweli pia wazazi hutofautiana katika kuonyesha mapezi kwa watoto wao,hapa nazungumzia mahusiano ya wazazi na watoto katika maisha ya kila siku.
Kwa sisi watoto wa maika ya 1980+ wazazi wetu wengi walitufanya tuwaogope na kuwaheshimu hata kwanidhamu ya woga, kitu ambacho mimi nakipinga sana.Leo mambo ni tofauti sana, wazazi wengi wamekuwa wakijitahidi kujenga urafiki na...
9 years ago
MichuziWASHIRIKI 20 WA SHINDANO LA BONGO STYLE WAENDELEA KUJIFUA
BOFYA HAPA KWA PICHA...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/pdk_yl2Uwdg/default.jpg)
20 WACHAGULIWA KUSHIRIKI KATIKA SHINDANO LA BONGO STYLE COMPETITION.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
Dewji Blog19 Oct
Hatimaye majaji wachagua washiriki 20 katika shindano la Bongo Style Competition !
Kipande cha Video ya mahojiano hayo.
Kuelekea Shindano la Bongo Style Competition , Ambalo linatarajiwa kufanyika Mwishoni mwa mwezi wa Kumi na moja mwaka huu, Majaji wamefanikiwa kuwapata washiriki ambao wataingia katika Kinyang’anyiro hicho
Akizungumzia Shindano hilo Mratibu wa FASDO Tanzania Joyce Msigwa alisema shindano hilo linalengo la kuibua vipaji vya vijana wenye kati ya umri wa miaka 18-25 katika nyanja za ubunifu mitindo na upigaji picha ili kuwahamasisha kutumia vipaji vyao...