Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatimaye majaji wachagua washiriki 20 katika shindano la Bongo Style Competition !

Kipande cha Video ya mahojiano hayo.

Kuelekea Shindano la Bongo Style  Competition , Ambalo linatarajiwa kufanyika Mwishoni mwa mwezi wa Kumi na moja mwaka huu, Majaji wamefanikiwa kuwapata washiriki ambao wataingia katika Kinyang’anyiro hicho

Akizungumzia Shindano hilo Mratibu wa FASDO Tanzania Joyce Msigwa alisema shindano hilo linalengo la kuibua vipaji vya vijana wenye kati ya umri wa miaka 18-25 katika nyanja za ubunifu mitindo na upigaji picha ili kuwahamasisha kutumia vipaji vyao...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

20 WACHAGULIWA KUSHIRIKI KATIKA SHINDANO LA BONGO STYLE COMPETITION.

Kipande cha Video ya mahojiano.
 Majaji kwa Upande wa wabunifu wa Mitindo-Mavazi na Upigaji wa Picha wakiwa wanaendelea na kazi za uhakiki wa Majina ya kuwapata washiriki 20 ambao wataingia katika Shindano hilo.
Mbunifu na Mwanamitindo wa Mavazi ambaye pia ni Balozi wa Fasdo Martin kadinda akiongea kwa niaba ya Majaji upande Majaji wa Mitindo akielezea jinsi mchakato ulivyo kwenda.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Michuzi

WASHIRIKI 20 WA SHINDANO LA BONGO STYLE WAENDELEA KUJIFUA

 Washiriki wa shindano la Bongo style kwa upande wa picha wakimsikiliza kwa makini mtaalam wao Sameer Kermalli(wa tatu kulia) akitoa maelekezo wakati wa mafunzo hayo. Baadhi ya washiriki kwa upande wa picha wakiwa wanasikiliza kwa makini somo
Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande akiwa na washiriki wa shindano la Bongo Style ambao hawapo pichani , akiwa na Mratibu wa FASDO Tanzania Joyce Msigwa alipofika kuwatembelea na kuongea nao machache.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

9 years ago

Dewji Blog

Washiriki 15 wachaguliwa katika shindano la ‘Tigo Digital Change Makers’ la 2015

tigo

Kampuni ya Tigo Tanzania kwa kushirikiana na Reach for Change (R4C) wametangaza  washiriki 15 wenye vipaji vya ujasiriamali wa kijamii wamechaguliwa katika shindano la  “Tigo Digital Change Makers’ ambapo washindi wawili watatangazwa wiki ijayo.

Shindano hili lilioanza Septemba, limepokea mamia ya maombi kutoka kwa washiriki wenye ubunifu wa kiteknologia katika sekta mbalimbali zikiwemo elimu, ukulima na afya kwa mujibu wa Afisa wa Huduma kwa Jamii wa Tigo, May Thomas

Katika taarifa...

 

11 years ago

GPL

WIKI 3 KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TMT, WASHIRIKI WENGINE 2VWAAGA SHINDANO‏

 Joyce Kalinga Mshiriki wa Shindano la TMT ambae apia alikua mshindi kutoka Kanda ya Kati Mkoani Dodoma akitoa maneno yake ya shukrani na pia kuwashukuru wadau, Kampuni ya Proin Promotions na watazamaji na waliompigia kura japokuwa bahati haikuwa yake kutokana na kutolewa kwenye kinyanganyiro hicho baada na uchache wa kura kutoka kwa watazamaji.  Lulu na Joti wakitoa maelekezo kwa washiriki wawili wa Shindano la TMT...

 

9 years ago

Michuzi

10 WATINGA KATIKA FAINALI ZA SHINDANO LA BONGO STYLE‏‎

Hatimaye Shindano la Bongo Style linalo andaliwa na Faru Arts and Sports Development Organization(FASDO) lililo anzishwa mwaka huu na ambalo litakuwa  likifanyika kila mwaka lililowahusisha vijana wenye umri kati ya Miaka 18-25 wakiwemo wapiga picha na wabunifu wa mavazi 20 waliokuwa wamechaguliwa kuingia Nusu   Fainali baada ya kujiandikisha kushiriki  shindano hili kwa kupitia  tovuti ya FASDO www.fasdo.org na kuchaguliwa toka kwa washiriki 300 waliojiandikisha limefikia hatua...

 

10 years ago

Dewji Blog

Washiriki 10 wa shindano la TMT wafanikiwa kuingia fainali, mshindi mmoja kuondoka na milioni 50 katika ukumbi wa Mlimani City tarehe 30 mwezi huu

Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakifuatilia Filamu fupi iliyochezwa na baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie talents (TMT) wakati ilipokua ikionyeshwa kwenye runinga kubwa katika Ukumbi wa Makumbusho. Kutoka Kulia ni Single Mtambalike au Rich Rich katikati ni Vyonne Cherry au Monalisa na Kushoto ni Jaji Mkuu wa Shindano hilo Roy Sarungi.

Mahosti wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwajibika katika Jukwaa la Ukumbi wa Makumbusho ya...

 

9 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAJIPATIA KIPATO KWA KUUZA BIDHAA WALIZOTENGENEZA WENYEWE KATIKA KIJIJI CHA KISANGA.

Ni siku ya 14 ambapo mampema kabisa washiriki wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula Msimu wa nne 2015 linaloendeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow na yenye kauli yake ya Wekeza kwa wakulima wadogo wadogo wanawake inalipa , na Kipindi ambacho kinaruka katika Runinga yako kupitia Chanel ya ITV kuanzia saa 12:30 jioni na Marudio saa 11:30 za asubuhi , Katika siku hii Mama Shujaa wa Chakula wanatoka na kuelekea mabondeni kufuata udongo wa Mfinyanzi kwa ajili ya kuja kutengeneza vitu...

 

11 years ago

Michuzi

WIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MPVIE TALENTS (TMT), WASHIRIKI WENGINE WAWILI WAAGA SHINDANO WIKI HII

 Waendeshaji wa Show ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa steji, tayari kwa kuendelea na show hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkaumbusho ya Taifa Jijini Dar Es Salaam. Mshiriki Ally Kiwendo ambae alikuwa ni mmoja kati ya washindi watatu kutoka kanda ya Kusini mkoani Mtwara akitoa maneno ya shukrani kwa Kampuni ya Proin Promoitons ambao ndio waandaaji na waendeshaji wa Shindano la TMT mara baada ya kutangazwa kuaga shindano hilo kutokana na Kura kuwa chache,...

 

10 years ago

GPL

MAJAJI BONGO KUPIGWA RISASI

ENDAPO ulinzi binafsi na wa kazini hautaimarishwa kwa majaji, uwezekano ni mkubwa wa watu wabaya kuwavamia ofisini na kuwapiga risasi kwa sababu ya hukumu zao za kunyonga au kufunga watu jela maisha, Risasi Jumamosi limebaini. Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.  Hilo limekuja kufuatia chanzo kimoja toka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kupiga simu kwenye Ofisi za Magazeti Pendwa ya Global...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani