Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASHIRIKI 20 WA SHINDANO LA BONGO STYLE WAENDELEA KUJIFUA

 Washiriki wa shindano la Bongo style kwa upande wa picha wakimsikiliza kwa makini mtaalam wao Sameer Kermalli(wa tatu kulia) akitoa maelekezo wakati wa mafunzo hayo. Baadhi ya washiriki kwa upande wa picha wakiwa wanasikiliza kwa makini somo
Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande akiwa na washiriki wa shindano la Bongo Style ambao hawapo pichani , akiwa na Mratibu wa FASDO Tanzania Joyce Msigwa alipofika kuwatembelea na kuongea nao machache.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Hatimaye majaji wachagua washiriki 20 katika shindano la Bongo Style Competition !

Kipande cha Video ya mahojiano hayo.

Kuelekea Shindano la Bongo Style  Competition , Ambalo linatarajiwa kufanyika Mwishoni mwa mwezi wa Kumi na moja mwaka huu, Majaji wamefanikiwa kuwapata washiriki ambao wataingia katika Kinyang’anyiro hicho

Akizungumzia Shindano hilo Mratibu wa FASDO Tanzania Joyce Msigwa alisema shindano hilo linalengo la kuibua vipaji vya vijana wenye kati ya umri wa miaka 18-25 katika nyanja za ubunifu mitindo na upigaji picha ili kuwahamasisha kutumia vipaji vyao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Washiriki wa Dance 100% waendelea kujifua kwa nusu fainali chini ya Vodacom

001.MABIBO

Mstafa Yahaya mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la “Tatanisha Dancers” la Mabibo  jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya  kujiandaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu  kwenye  Viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

 002.MABIBO

Mshiriki wa shindano la Dance 100% Isyaka Ramadhan wa Kundi la”Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA DANCE 100%WAENDELEA KUJIFUA KWA NUSU FAINALI CHINI YA VODACOM

 Mstafa Yahaya mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la “Tatanisha Dancers” la Mabibo  jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya  kujiandaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu  kwenye  Viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania. Mshiriki wa shindano la Dance 100% Isyaka Ramadhan wa Kundi la”Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es...

 

10 years ago

GPL

WASHIRIKI WA DANCE 100% WAENDELEA KUJIFUA KWA NUSU FAINALI CHINI YA VODACOM‏

Mstafa Yahaya mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la “Tatanisha Dancers” la Mabibo  jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya  kujiandaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu  kwenye  Viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.… ...

 

9 years ago

Michuzi

20 WACHAGULIWA KUSHIRIKI KATIKA SHINDANO LA BONGO STYLE COMPETITION.

Kipande cha Video ya mahojiano.
 Majaji kwa Upande wa wabunifu wa Mitindo-Mavazi na Upigaji wa Picha wakiwa wanaendelea na kazi za uhakiki wa Majina ya kuwapata washiriki 20 ambao wataingia katika Shindano hilo.
Mbunifu na Mwanamitindo wa Mavazi ambaye pia ni Balozi wa Fasdo Martin kadinda akiongea kwa niaba ya Majaji upande Majaji wa Mitindo akielezea jinsi mchakato ulivyo kwenda.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

GPL

WIKI 3 KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TMT, WASHIRIKI WENGINE 2VWAAGA SHINDANO‏

 Joyce Kalinga Mshiriki wa Shindano la TMT ambae apia alikua mshindi kutoka Kanda ya Kati Mkoani Dodoma akitoa maneno yake ya shukrani na pia kuwashukuru wadau, Kampuni ya Proin Promotions na watazamaji na waliompigia kura japokuwa bahati haikuwa yake kutokana na kutolewa kwenye kinyanganyiro hicho baada na uchache wa kura kutoka kwa watazamaji.  Lulu na Joti wakitoa maelekezo kwa washiriki wawili wa Shindano la TMT...

 

11 years ago

Michuzi

WIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MPVIE TALENTS (TMT), WASHIRIKI WENGINE WAWILI WAAGA SHINDANO WIKI HII

 Waendeshaji wa Show ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa steji, tayari kwa kuendelea na show hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkaumbusho ya Taifa Jijini Dar Es Salaam. Mshiriki Ally Kiwendo ambae alikuwa ni mmoja kati ya washindi watatu kutoka kanda ya Kusini mkoani Mtwara akitoa maneno ya shukrani kwa Kampuni ya Proin Promoitons ambao ndio waandaaji na waendeshaji wa Shindano la TMT mara baada ya kutangazwa kuaga shindano hilo kutokana na Kura kuwa chache,...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR WAENDELEA KUJIFUA KUJIANDAA KUWAKABILI WENZAO WA MKOA WA ARUSHA

  Wachezaji wa timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa katika mazoezi ya pamoja yanayoendelea kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kirafiki kati yao na timu ya Kamati ya Amani ya Mkoa wa Arusha unaotarajiwa kuchezwa mwishoni mwa mwezi huu. 
Mbali na mchezo huo pia timu hizo zinatarajia kufanya shughuli za Kijamii, ikiwa ni pamoja na kutembelea wagonjwa na Vituo vya Albino kwa lengo la kudumisha Amani na Mshikamano...

 

10 years ago

Vijimambo

WASHIRIKI 18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015

Jopo la Majaji, Kutoka Kulia ni Zephaniah Muggitu wa Digital Consulting Ltd, Jairos Mahenge Mhifadhi Mwandamizi wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu, Dora Myinga Mkulima na Mjasiliamali, Mwandiwe Makame Mkulima na Mfugaji, Roselyn Kaihula kutoka Ekama Development Eluka Kibona, Meneja Utetezi na Ushawishi  Oxfam akikaribisha majaji kwa ajili ya kutaja majina ya washindi watakao ingia shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015.
 Mmoja wa majaji Zephaniah Muggitu  Akieleza kwa ujumla Jinsi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani