Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


20 WACHAGULIWA KUSHIRIKI KATIKA SHINDANO LA BONGO STYLE COMPETITION.

Kipande cha Video ya mahojiano.
 Majaji kwa Upande wa wabunifu wa Mitindo-Mavazi na Upigaji wa Picha wakiwa wanaendelea na kazi za uhakiki wa Majina ya kuwapata washiriki 20 ambao wataingia katika Shindano hilo.
Mbunifu na Mwanamitindo wa Mavazi ambaye pia ni Balozi wa Fasdo Martin kadinda akiongea kwa niaba ya Majaji upande Majaji wa Mitindo akielezea jinsi mchakato ulivyo kwenda.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Hatimaye majaji wachagua washiriki 20 katika shindano la Bongo Style Competition !

Kipande cha Video ya mahojiano hayo.

Kuelekea Shindano la Bongo Style  Competition , Ambalo linatarajiwa kufanyika Mwishoni mwa mwezi wa Kumi na moja mwaka huu, Majaji wamefanikiwa kuwapata washiriki ambao wataingia katika Kinyang’anyiro hicho

Akizungumzia Shindano hilo Mratibu wa FASDO Tanzania Joyce Msigwa alisema shindano hilo linalengo la kuibua vipaji vya vijana wenye kati ya umri wa miaka 18-25 katika nyanja za ubunifu mitindo na upigaji picha ili kuwahamasisha kutumia vipaji vyao...

 

9 years ago

Michuzi

WASHIRIKI 20 WA SHINDANO LA BONGO STYLE WAENDELEA KUJIFUA

 Washiriki wa shindano la Bongo style kwa upande wa picha wakimsikiliza kwa makini mtaalam wao Sameer Kermalli(wa tatu kulia) akitoa maelekezo wakati wa mafunzo hayo. Baadhi ya washiriki kwa upande wa picha wakiwa wanasikiliza kwa makini somo
Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa FASDO, Tedvan Chande akiwa na washiriki wa shindano la Bongo Style ambao hawapo pichani , akiwa na Mratibu wa FASDO Tanzania Joyce Msigwa alipofika kuwatembelea na kuongea nao machache.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

9 years ago

Dewji Blog

Washiriki 15 wachaguliwa katika shindano la ‘Tigo Digital Change Makers’ la 2015

tigo

Kampuni ya Tigo Tanzania kwa kushirikiana na Reach for Change (R4C) wametangaza  washiriki 15 wenye vipaji vya ujasiriamali wa kijamii wamechaguliwa katika shindano la  “Tigo Digital Change Makers’ ambapo washindi wawili watatangazwa wiki ijayo.

Shindano hili lilioanza Septemba, limepokea mamia ya maombi kutoka kwa washiriki wenye ubunifu wa kiteknologia katika sekta mbalimbali zikiwemo elimu, ukulima na afya kwa mujibu wa Afisa wa Huduma kwa Jamii wa Tigo, May Thomas

Katika taarifa...

 

9 years ago

Michuzi

10 WATINGA KATIKA FAINALI ZA SHINDANO LA BONGO STYLE‏‎

Hatimaye Shindano la Bongo Style linalo andaliwa na Faru Arts and Sports Development Organization(FASDO) lililo anzishwa mwaka huu na ambalo litakuwa  likifanyika kila mwaka lililowahusisha vijana wenye umri kati ya Miaka 18-25 wakiwemo wapiga picha na wabunifu wa mavazi 20 waliokuwa wamechaguliwa kuingia Nusu   Fainali baada ya kujiandikisha kushiriki  shindano hili kwa kupitia  tovuti ya FASDO www.fasdo.org na kuchaguliwa toka kwa washiriki 300 waliojiandikisha limefikia hatua...

 

10 years ago

Dewji Blog

18 watajwa kushiriki shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015

Meneja Utetezi na Ushawishi wa Oxfam, Eluka Kibona akifungua mkutano wa kuwatangaza washindi wa waliongia katika shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015.

Majaji, Kutoka Kulia ni Zephaniah Muggitu wa Digital Consulting Ltd, Jairos Mahenge Mhifadhi Mwandamizi wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu, Dora Myinga Mkulima na Mjasiliamali, Mwandiwe Makame Mkulima na Mfugaji, Roselyn Kaihula kutoka Ekama Development.


Ofisa Mahusiano ya Ushawishi  wa Oxfam Tanzania Suhaila Thawer akitoa maelezo...

 

10 years ago

Michuzi

ROSE NDAUKA ASEMA BAADA YA KANUMBA KUFARIKI BONGO MOVIE HAKUNA COMPETITION

STEVE KANUMBA ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA NA ROSE NDAUKAKama wewe ni Mmoja wa Wapenzi wa Filamu za Nchini Tanzania na unafuatilia Vizuri basi utakubaliana na Rose Ndauka Kwamba Baada ya Kufariki STEVEN KANUMBARose Ndauka Ameongea na @DjHaazu na kusema Steven Kanumba aliipigania sana Tasnia ya Filamu Nchini Tanzania Haswa kwa jitihada zake kukuza Wasanii wenzake ambapo kwa Moyo wake kwa kushirikiana na Wasanii wenzake Waliifikisha Sanaa ya Filamu Tanzania Hapo ilipo ila hadi sasa Hakuna Hatu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Life style: Manaiki Sanga, Mkali wa “Selfies” Hapa Bongo!!!

‘Selfie’ ni  aina ya picha ambazo watu hujipiga wenyewe kwa kutumia camera za simu zao au  digital camera na mara nyingi huwa ni kwaajili ya ku-share kwenye mitandao ya kijamii.

Leo katika pitiapitia za kurasa za waigizaji wa hapa bongo, nimebaini kuwa mwigizaji Manaiki Sanga ndie msanii ambae amepiga selfies kali zaidi, hapa nazungumzia zile zinazo jumuisha watu zaidi ya mmoja.

Kama unam-follow makali huyu kwenye mtandao wa instagram, utakubaliana na mimi kuwa jamaa anapenda sana mtindo...

 

10 years ago

GPL

WAKAZI WA JIJI LA DAR WAJITOKEZA KWA WINGI KUSHIRIKI SHINDANO LA TMT 2015

   Baadhi ya wafanyakazi wa TMT wakiwahudumia watanzania waliojitokeza kwaajili ya kushiriki shindano la TMT 2015 kwa furaha
Baadhi ya washiriki wakisubiria kuingia kwa majaji tayari kwa kuonyesha uwezo wao wa kuigiza
Baadhi ya vijana waliojitokeza kwaajili ya usajili wa kushiriki shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 mpakakieleweke wakisikiliza maelekezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya Proin...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani