Washiriki 15 wachaguliwa katika shindano la ‘Tigo Digital Change Makers’ la 2015
Kampuni ya Tigo Tanzania kwa kushirikiana na Reach for Change (R4C) wametangaza washiriki 15 wenye vipaji vya ujasiriamali wa kijamii wamechaguliwa katika shindano la “Tigo Digital Change Makers’ ambapo washindi wawili watatangazwa wiki ijayo.
Shindano hili lilioanza Septemba, limepokea mamia ya maombi kutoka kwa washiriki wenye ubunifu wa kiteknologia katika sekta mbalimbali zikiwemo elimu, ukulima na afya kwa mujibu wa Afisa wa Huduma kwa Jamii wa Tigo, May Thomas
Katika taarifa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/pdk_yl2Uwdg/default.jpg)
20 WACHAGULIWA KUSHIRIKI KATIKA SHINDANO LA BONGO STYLE COMPETITION.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
Dewji Blog26 Sep
Tigo na Reach for Change wazindua shindano la wajasiriamali jamii
Meneja mkuu wa Tigo Tanzania Diego Gutierrez, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa shindano la wajasiriamali jamii liitwalo “Tigo Digital Change-makers”, kampuni ya Tigo kushirikiana na Reach for Change kila mwaka wanatafuta watu wenye kuibua mawazo ya kibunifu ambayo yatasaidia kutatuta matatizo yanayowakabili watoto na vijana nchini.
Meneja wa Reach for Change Tanzania, Peter Nyanda, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa shindano la wajasiriamali jamii...
9 years ago
MichuziWASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAJIPATIA KIPATO KWA KUUZA BIDHAA WALIZOTENGENEZA WENYEWE KATIKA KIJIJI CHA KISANGA.
9 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA REACH FOR CHANGE WAZINDUA SHINDANO LA WAJASIRIAMALI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
VijimamboWASHIRIKI 18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015
10 years ago
GPLWASHIRIKI 18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015
9 years ago
Dewji Blog18 Aug
Washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 wabuni mbinu za kujipatia kipato
Ni siku ya 14 ambapo mampema kabisa washiriki wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula Msimu wa nne 2015 linaloendeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow na yenye kauli yake ya Wekeza kwa wakulima wadogo wadogo wanawake inalipa , na Kipindi ambacho kinaruka katika Luninga yako kupitia Chanel ya ITV kuanzia saa 12:30 jioni na Marudio saa 11:30 za asubuhi , Katika siku hii Mama Shujaa wa Chakula wanatoka na kuelekea mabondeni kufuata udongo wa Mfinyanzi kwa ajili ya kuja kutengeneza vitu...
9 years ago
Dewji Blog19 Oct
Hatimaye majaji wachagua washiriki 20 katika shindano la Bongo Style Competition !
Kipande cha Video ya mahojiano hayo.
Kuelekea Shindano la Bongo Style Competition , Ambalo linatarajiwa kufanyika Mwishoni mwa mwezi wa Kumi na moja mwaka huu, Majaji wamefanikiwa kuwapata washiriki ambao wataingia katika Kinyang’anyiro hicho
Akizungumzia Shindano hilo Mratibu wa FASDO Tanzania Joyce Msigwa alisema shindano hilo linalengo la kuibua vipaji vya vijana wenye kati ya umri wa miaka 18-25 katika nyanja za ubunifu mitindo na upigaji picha ili kuwahamasisha kutumia vipaji vyao...