Tigo na Reach for Change wazindua shindano la wajasiriamali jamii
Meneja mkuu wa Tigo Tanzania Diego Gutierrez, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa shindano la wajasiriamali jamii liitwalo “Tigo Digital Change-makers”, kampuni ya Tigo kushirikiana na Reach for Change kila mwaka wanatafuta watu wenye kuibua mawazo ya kibunifu ambayo yatasaidia kutatuta matatizo yanayowakabili watoto na vijana nchini.
Meneja wa Reach for Change Tanzania, Peter Nyanda, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa shindano la wajasiriamali jamii...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA REACH FOR CHANGE WAZINDUA SHINDANO LA WAJASIRIAMALI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
Washiriki 15 wachaguliwa katika shindano la ‘Tigo Digital Change Makers’ la 2015
Kampuni ya Tigo Tanzania kwa kushirikiana na Reach for Change (R4C) wametangaza washiriki 15 wenye vipaji vya ujasiriamali wa kijamii wamechaguliwa katika shindano la “Tigo Digital Change Makers’ ambapo washindi wawili watatangazwa wiki ijayo.
Shindano hili lilioanza Septemba, limepokea mamia ya maombi kutoka kwa washiriki wenye ubunifu wa kiteknologia katika sekta mbalimbali zikiwemo elimu, ukulima na afya kwa mujibu wa Afisa wa Huduma kwa Jamii wa Tigo, May Thomas
Katika taarifa...
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Tigo yatoa Dola 40,000 kuendeleza miradi ya wajasiriamali-jamii
Balozi wa Sweden nchini, Katarina Rangnitt (wa pili kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya dola za marekani 20,000 kwa mshindi wa shindano la Tigo Reach For Change, Bihage Edward kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika Dar es Salaam jana. wanaoshuhudia ni Ofisa Mkuu wa Biashara wa Tigo, Shavkat Berdiev (kulia) na Meneja Mkazi wa Reach For Change, Peter Nyanda (kushoto).
![](http://2.bp.blogspot.com/-OwWd2oTFDzg/VnHj4JG40QI/AAAAAAAAXbc/WJOFF8cR1ys/s640/tigo%2Br4c-004.jpg)
10 years ago
Dewji Blog29 Jul
Taasisi ya Manjano Foundation wazindua mafunzo ya wajasiriamali
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions Ltd, Mama Shekha Nasser akitoa mada kwenye Mradi wake aliouanzisha kuwejengea Uwezo wanawake Kwenye Ujasiriamali.Mafunzo hayo yalianza jana Chini ya Taasisi ya Manjano Foundation.Lengo la Mradi huo ni kuwajengea Uwezo wanwake wa Kitanzania Kupitia Bidhaa bidhaa za Vipodozi vya Luv touch Manjano kujisimamia na Kujikita Vizuri kwenye Biashara ya Vipodozi na kujua Mbinu Mbalimbali za Biashara kwa lengo la Kumjengea uwezo Mwanamke wa Kitanzania.
10 years ago
GPLTIGO WAZINDUA HUDUMA MPYA YA INTERNET YA 4G LTE
10 years ago
Dewji Blog22 Apr
ESAURP, FSDT wazindua mradi wa huduma za kibenki kuwezesha wajasiriamali
Mkurugenzi wa Ufundi wa Taasisi ya Ukuzaji wa Sekta ya Fedha (FSDT), Sosthenes Kewe akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa kuwajengea uwezo wajasiriamali wadogo na wakati unaofanywa kwa kushirikiana na taasisi ya utafiti wa vyuo vikuu kusini mwa Afrika (ESAURP).
Mkurugenzi Mtendaji wa na taasisi ya utafiti wa vyuo vikuu kusini mwa Afrika (ESAURP), Profesa Ted Maliyamkono akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa kuwajengea uwezo wajasiriamali wadogo na wakati unaofanywa kwa...
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
FSDT yahamasisha ushiriki shindano kusaidia wajasiriamali
WADAU wa sekta ya fedha na wabunifu nchini wametakiwa kuchangamkia awamu ya tatu ya shindano la mfuko wa ubunifu wa bidhaa za kifedha unaolenga kusaidia wajasiriamali wadogo na wa kati....
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Tigo na DTBi wazindua huduma ya kurejesha kumbukumbu na kuzuia wizi simu za mkononi
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.Binilith Mahenge (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha oparesheni cha Kampuni ya MagilaTech, iliyotengeneza teknolojia ya tigo backup inayowezesha kurejesha kumbukumbu na kuzuia wizi wa simu za mkononi Dar es Salaam jana.
Wanahabari na wadau wengine wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo.
Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kulia),...
10 years ago
MichuziNMB NA DSE WAZINDUA SHINDANO LA UWEKEZAJI KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA JUU NCHINI
Shindano hilo ambalo litadumu kwa miezi mitatu, litawakutanisha wanafunzi wa vyuo vikuu ambao watapewa mitaji ya kielectroniki (Virtual Capital) ya shilingi milioni moja na wao kufanya...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10