Taasisi ya Manjano Foundation wazindua mafunzo ya wajasiriamali
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions Ltd, Mama Shekha Nasser akitoa mada kwenye Mradi wake aliouanzisha kuwejengea Uwezo wanawake Kwenye Ujasiriamali.Mafunzo hayo yalianza jana Chini ya Taasisi ya Manjano Foundation.Lengo la Mradi huo ni kuwajengea Uwezo wanwake wa Kitanzania Kupitia Bidhaa bidhaa za Vipodozi vya Luv touch Manjano kujisimamia na Kujikita Vizuri kwenye Biashara ya Vipodozi na kujua Mbinu Mbalimbali za Biashara kwa lengo la Kumjengea uwezo Mwanamke wa Kitanzania.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMMILIKI WA SHEAR ILLUSION WAZINDUA MANJANO FOUNDATION
Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.MAMLAKA ya chakula na dawa wamewataka wananchi kuepukana na kutumia bidhaa za vipodozi feki kwani bidhaa hizo zinamadhara makubwa kwa mtumiaji.
Hayo aliyasemwa na Meneja wa Usajili wa vipodozi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Grace Shimela wakati wa uzinduzi kipodozi aina ya Manjano Lovtouch katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana.
Shimela alisema kuwa wamiliki wote wa bidhaa vya vipodozi wanatakiwa kusajili bidhaa zao ili wafanye...
10 years ago
Michuzi12 Oct
TAASISI YA MANJANO FOUNDATION WAENDELEA KUWANUFAISHA WANAWAKE

10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Mama Tunu Pinda azindua Taasisi ya Manjano Foundation

Mgeni Rasmi kwenye halfa ua Uzinduzi wa Taasisi ya Manjano Foundation Pamoja na Vipodozi Pendwa Vijulikanavyo kama Luv Touch Manjano Mke wa Waziri Mkuu Mh Tunu Pinda akitoa Hotuba yake katika Uzinduzi huo .
Katika Hotuba yake Mh Mama Pinda Alisema amefurahishwa sana Kwa Mwanamke wa Kitanzania Kuanzisha Bidhaa amabyo imeweza kushindana na Bidhaa kama hizo kutoka mataifa Mengine.Halfa hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.
Hafla hiyo ya uzinduzi ilifunguliwa na mke wa Waziri...
10 years ago
Michuzi
MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MANJANO FOUNDATION YAKAMILIKA

Shear Illusions inasherehekea mwongo mmoja wa urembo nchini Tanzania kwa kuzindua vipodozi vyake ijulikanayo kama LuvTouch Manjano!Uzinduzi huu utafanyika tarehe 31 Mei 2015 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee VIP Hall. Shamrashamra hizi pia itatoa fursa kwa kuendeleza mtandao wa kibiashara kwa kina mama na pia mada mbali mbali ya jinsi ya kujikwamua...
5 years ago
MichuziTAASISI YA ODO UMMY FOUNDATION YATOA VIFAA VYA USAFI KWA TAASISI KUBWA ZA DINI JIJINI TANGA
10 years ago
MichuziTASWIRA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KUPITIA VIPODOZI VYA LUV TOUCH MANJANO
10 years ago
Dewji Blog01 Aug
Shamim Mwasha atoa mada namna kutumia mitandao ya kijamii kwa manufaa kwenye semina ya taasisi ya Manjano
Mkurugenzi Mtendaji 8020 Fashion na Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha akitoa mada kwenye Semina ya kuwawezesha wanawake kuwa wajasiriamali kupitia vipodozi vya Luv Touch Manjano iliyoandaliwa na Manjano Foundation kwa lengo la kuwajengea udhubutu wanawake kufanya biashara pia namna ya kujiwekea akiba na kutumiza malengo yao. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions Ltd. Mkurugenzi wa Manjano Foundation, Mama Shekhar Nasser.
Washiriki wakimsikiliza...
5 years ago
Michuzi
Taasisi ya DYCCC na AlHikma Foundation wakabidhi vifaa vya PPE kwa Taasisi ya JAI kwa ajili ya kuzikia






10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Tigo na Reach for Change wazindua shindano la wajasiriamali jamii
Meneja mkuu wa Tigo Tanzania Diego Gutierrez, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa shindano la wajasiriamali jamii liitwalo “Tigo Digital Change-makers”, kampuni ya Tigo kushirikiana na Reach for Change kila mwaka wanatafuta watu wenye kuibua mawazo ya kibunifu ambayo yatasaidia kutatuta matatizo yanayowakabili watoto na vijana nchini.
Meneja wa Reach for Change Tanzania, Peter Nyanda, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa shindano la wajasiriamali jamii...