Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MANJANO FOUNDATION YAKAMILIKA

Wasichana waliochaguliwa kunufaika na Mpango hup wakiwa Katika Picha ya Pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd. Mama  Shekha Nasser .

Shear Illusions inasherehekea mwongo mmoja wa urembo nchini Tanzania kwa kuzindua vipodozi vyake ijulikanayo kama LuvTouch Manjano!Uzinduzi huu utafanyika tarehe 31 Mei 2015 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee VIP Hall. Shamrashamra hizi pia itatoa fursa kwa kuendeleza mtandao wa kibiashara kwa kina mama na pia mada mbali mbali ya jinsi ya kujikwamua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU CCM YAKAMILIKA, MAGUFULI, SAMIA KUUNGURUMA JANGWANI KESHO

 Katibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Juma 'Gadafi' akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisi kwake leo asubuhi, kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya uzinduzi wa mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu wa chama hicho utaofanyika kesho viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.Picha zikichukuliwa.
Na Dotto Mwaibale
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza ratiba ya uzinduzi wa kampeni za...

 

9 years ago

Michuzi

TAASISI YA MANJANO FOUNDATION WAENDELEA KUWANUFAISHA WANAWAKE

 Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya Ujasiriamali kwa kutumia Vipodozi wakiwa kwenye mafunzo kwa njia ya Vitendo..Wanawake wachache wa jiji la Dar es salaam wameendelea kunufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia vipodozi vya LuvTouch Manjano. Washiriki hawa wameendelea kufundishwa matumizi sahihi na ueledi wa kutumia vipodozi (makeup) mbalimbali kutokana na nyakati tofauti. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na mtaalamu wa mambo ya urembo na muasisi wa Taasisi ya Manjano Foundation mama Shekha...

 

10 years ago

Michuzi

MMILIKI WA SHEAR ILLUSION WAZINDUA MANJANO FOUNDATION



Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.MAMLAKA ya chakula na dawa wamewataka wananchi kuepukana na kutumia bidhaa za vipodozi feki kwani bidhaa hizo zinamadhara makubwa kwa mtumiaji.


Hayo aliyasemwa na  Meneja wa Usajili wa vipodozi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Grace Shimela wakati wa uzinduzi kipodozi aina ya Manjano Lovtouch katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana.


Shimela alisema kuwa wamiliki wote wa bidhaa vya vipodozi wanatakiwa kusajili bidhaa zao ili wafanye...

 

10 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya Manjano Foundation wazindua mafunzo ya wajasiriamali

 

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions Ltd, Mama Shekha Nasser akitoa mada kwenye Mradi wake aliouanzisha kuwejengea Uwezo wanawake Kwenye  Ujasiriamali.Mafunzo hayo yalianza jana Chini ya Taasisi ya  Manjano Foundation.Lengo la Mradi huo ni kuwajengea Uwezo wanwake wa Kitanzania Kupitia Bidhaa bidhaa za Vipodozi vya Luv touch Manjano kujisimamia na Kujikita Vizuri kwenye Biashara ya Vipodozi na kujua Mbinu Mbalimbali za Biashara kwa lengo la Kumjengea uwezo Mwanamke wa Kitanzania.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama Tunu Pinda azindua Taasisi ya Manjano Foundation

Mgeni Rasmi kwenye halfa ua Uzinduzi wa Taasisi ya Manjano Foundation Pamoja na Vipodozi Pendwa Vijulikanavyo kama Luv Touch Manjano Mke wa Waziri Mkuu Mh Tunu Pinda akitoa Hotuba yake katika Uzinduzi huo .

Katika Hotuba yake Mh Mama Pinda Alisema amefurahishwa sana Kwa Mwanamke wa Kitanzania Kuanzisha Bidhaa amabyo imeweza kushindana na Bidhaa kama hizo kutoka mataifa Mengine.Halfa hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.

Hafla hiyo ya uzinduzi ilifunguliwa na mke wa Waziri...

 

11 years ago

BBCSwahili

Malawi:Maandalizi ya uchaguzi yakamilika

Maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa Malawi yamekamilika huku wagombea 12 wakikabana koo kuwania urais. Tathmini ya Baruan Muhuza

 

9 years ago

GPL

MAANDALIZI UJIO WA WIZKID YAKAMILIKA

Mwanamuzi nyota wa Nigeria, Wizkid. Imelda Mtema,  MAANDALIZI ya ujio wa mwanamuzi nyota wa Nigeria, Wizkid anayetarajia kutumbuiza jijini Dar es Salaam Oktoba 31, mwaka huu yamekamilika.Mwanamuziki huyo anayetamba na wimbo wake wa ‘Give My Money’ analetwa nchini na kampuni ya burudani ya King na kudhaminiwa na Kituo cha Runinga cha EATV. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa King Entertainment, Solomon...

 

10 years ago

GPL

MAANDALIZI YA MKESHA KULIOMBEA TAIFA YAKAMILIKA

Mwenyekiti wa Kamati ya Maadalizi, Mchungaji Godfrey Mallassu, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Askofu Gama akisisitiza jambo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maandalizi Tenisi Afrika Mashariki yakamilika

MAANDALIZI ya michuano ya Vijana ya Tenisi Afrika Mashariki (Junior East Africa Tennis Championship) yanayotarajiwa kutimua vumbi kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam Januari 11, mwaka huu yamekamilika....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani