MAANDALIZI UJIO WA WIZKID YAKAMILIKA
![](http://api.ning.com:80/files/8e0m82BHkpl-*kjSVlyQQSe6D3Cha0gd8VHd*90fmqWDw4YEH9P0VfxwflyX58kfscl2BP7DpvQdD0CPH3*HbTSWUKgbiv2*/wiz.jpg?width=650)
Mwanamuzi nyota wa Nigeria, Wizkid. Imelda Mtema, MAANDALIZI ya ujio wa mwanamuzi nyota wa Nigeria, Wizkid anayetarajia kutumbuiza jijini Dar es Salaam Oktoba 31, mwaka huu yamekamilika.Mwanamuziki huyo anayetamba na wimbo wake wa ‘Give My Money’ analetwa nchini na kampuni ya burudani ya King na kudhaminiwa na Kituo cha Runinga cha EATV. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa King Entertainment, Solomon...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili19 May
Malawi:Maandalizi ya uchaguzi yakamilika
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Maandalizi Tenisi Afrika Mashariki yakamilika
MAANDALIZI ya michuano ya Vijana ya Tenisi Afrika Mashariki (Junior East Africa Tennis Championship) yanayotarajiwa kutimua vumbi kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam Januari 11, mwaka huu yamekamilika....
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9HRM0nTu3dI/VWSjdURRdxI/AAAAAAAAG_0/RcIGu8f-vrw/s72-c/Press%2BConf.jpg)
MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MANJANO FOUNDATION YAKAMILIKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-9HRM0nTu3dI/VWSjdURRdxI/AAAAAAAAG_0/RcIGu8f-vrw/s640/Press%2BConf.jpg)
Shear Illusions inasherehekea mwongo mmoja wa urembo nchini Tanzania kwa kuzindua vipodozi vyake ijulikanayo kama LuvTouch Manjano!Uzinduzi huu utafanyika tarehe 31 Mei 2015 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee VIP Hall. Shamrashamra hizi pia itatoa fursa kwa kuendeleza mtandao wa kibiashara kwa kina mama na pia mada mbali mbali ya jinsi ya kujikwamua...
10 years ago
GPLMAANDALIZI YA MKESHA KULIOMBEA TAIFA YAKAMILIKA
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Iy7Ny0PLn1g/Vh1v4F693gI/AAAAAAAH_zY/khlE3lHxtdM/s72-c/unnamed01.jpg)
MAANDALIZI YA ROTARY DAR MARATHON 2015 YAKAMILIKA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Iy7Ny0PLn1g/Vh1v4F693gI/AAAAAAAH_zY/khlE3lHxtdM/s640/unnamed01.jpg)
10 years ago
Dewji Blog31 Jan
Maandalizi ya maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yakamilika Songea
Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika mazoezi ya gwari, karate na halaiki kwenye Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo wakati wa maandalizi ya maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM yanayofanyika kitaifa kesho Mkoani Ruvuma ambapo mgeni rasmi atakuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari, kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea,...
10 years ago
CloudsFM30 Jan
MAANDALIZI YA TAMASHA LA MIAKA 10 YA THT Escape 1 MIKOCHENI YAKAMILIKA
Tamasha la miaka kumi ya THT litakalofanyika jumamosi hii katika viwanja vya Escape 1 Mikocheni, limekamilisha maandalizi yake na hivyo kuwataka wadau na wapenzi wake wajitokeze kwa wingi kushuhudia burudani kubwa ya mziki hapa nchini.
THT, ambayo inasifika kwa kuzalisha wasanii mahiri nchini kama Linah, Barnaba, Mwasiti, Ditto, Mataluma, Vumi, Beka, Recho, Marlaw, Msami, Makomando na wengine wengi, imejipanga kutoa burudani kubwa ya mziki kwa mashabiki wake.
Akizungumza kuhusu maandalizi...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8lZq2Imq3nk/UytQ0NxbuKI/AAAAAAACdHw/LVQUNbY9W9g/s72-c/IMG_0492.jpg)
maandalizi ya tamasha la pasaka yakamilika,rebecca malope kutumbuiza jijini mwanza.
Aakizungumza na Waandishi wa habari jijini dar leo katika viwanja vya Karimjee,Msama amebainisha kuwa kila kitu kimekwishakamilika,wakiwemo wasanii mbalimbali watakaotumbuiza siku hiyo,aidha amesema kuwa pamoja na wanamuziki wa nyumbani kushiriki tamasha hilo,pia...
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-8lZq2Imq3nk/UytQ0NxbuKI/AAAAAAACdHw/LVQUNbY9W9g/s1600/IMG_0492.jpg)
MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA YAKAMILIKA, REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA JIJINI MWANZA