WAKAZI WA JIJI LA DAR WAJITOKEZA KWA WINGI KUSHIRIKI SHINDANO LA TMT 2015
  Baadhi ya wafanyakazi wa TMT wakiwahudumia watanzania waliojitokeza kwaajili ya kushiriki shindano la TMT 2015 kwa furaha Baadhi ya washiriki wakisubiria kuingia kwa majaji tayari kwa kuonyesha uwezo wao wa kuigiza Baadhi ya vijana waliojitokeza kwaajili ya usajili wa kushiriki shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 mpakakieleweke wakisikiliza maelekezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya Proin...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Wakazi wa Jiji la Dar Wajitokeza kwa wingi kushiriki Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke
Baadhi ya wafanyakazi wa TMT wakiwahudumia watanzania waliojitokeza kwaajili ya kushiriki shindano la TMT 2015 kwa furaha.
Baadhi ya washiriki wakisubiria kuingia kwa majaji tayari kwa kuonyesha uwezo wao wa kuigiza.
Baadhi ya vijana waliojitokeza kwaajili ya usajili wa kushiriki shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 #mpakakieleweke wakisikiliza maelekezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ni waendeshaji wa shindano hilo katika viwanja...
9 years ago
MichuziWAKAZI WA JIJI LA MBEYA WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA, MADUKA YAFUNGWA KUAJILI YA UCHAGUZI
Hapa ni eneo la Mwanjelwa maharufu kwa Jina la Mtaa wa kongo likiwa Pweke kuajili ya uchaguzi hakuna alie leta Biashara yake hapa siku hii ya leo.
Baadhii ya...
10 years ago
Dewji Blog15 Dec
Wadau wajitokeza kwa wingi tayari kushiriki maonesho ya kwanza ya kimataifa ya elimu, Dar
Na Mwandishi Wetu.
Wadau wa Elimu ndani na nje ya nchi wamejiandikisha kwa wingi tayari kwa kushiriki maonesho ya kwanza ya kimataifa ya elimu nchini ambayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Wizara ya Elimu, Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, pamoja na kampuni ya uwakala wa vyuo vya nje Global Education link.
Maonesho hayo yanatarajiwa kuwa ya aina yake kuwahi kutokea nchini yanawashiriki kutoka shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi,Vyuo Vikuu vya ndani na...
9 years ago
Dewji Blog25 Oct
Wakazi wa Dar Wasimamisha Shughuli Kupiga Kura, Wajitokeza kwa Wingi
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam
WAKAZI wa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam leo wamesimamisha...
11 years ago
MichuziSHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA KANDA YA KUSINI, MAMIA WAJITOKEZA KUSHIRIKI
Baadhi ya washiriki kutoka Kanda ya Kusini wakiwa wamejitokeza katika usaili wa Kushiriki shindano la Tanzania Movie Talent katika Ukumbi wa Safari lounge uliopo...
11 years ago
GPLSHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA KANDA YA KUSINI, MAMIA WAJITOKEZA KUSHIRIKI
11 years ago
Dewji Blog06 Apr
Mamia ya wakazi wa jiji la Mwanza wajitokeza katika usaili wa shindano la kuonyesha vipaji vya kuigiza
Jukwaa la Majaji likiwa tayari Kwai shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo Mkoani Mwanza Katika Kanda ya Ziwa.
Mafundi Mitambo wakiwa tayari kwa kazi.Kundi la Kwanza la Vijana waliojitokeza katika Usaili wa Shindano la Kusaka Vipaji Vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa kwenye foleni tayari kwa zoezi la kuonyesha vipaji kuanza.
Kundi la Kwanza la Vijana Waliojitokeza...
11 years ago
MichuziCHEGE,YP WALIVYOPAGAWISHA WAKAZI WA JIJI LA DAR WALIOFURIKA KWA WINGI KWENYE FUKWE YA COCO BEACH
11 years ago
MichuziMAMIA WA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KATIKA USAILI WA SHINDANO LA KUONYESHA VIPAJI VYA KUIGIZA LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS MUDA HUU