Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZAIDI YA VIJANA 1000 WAPATIWA MAFUNZO BORA YA KILIMO

Maneja wa Mradi wa Kilimo Klabu wa Vodacom Tanzania, Frank Madebwe(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa Semina ya Vijana iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam iliyohusu masuala ya Kilimo na biashara ”Youth and Agriculture” iliyoandaliwa na mashirika mbalimbali yanayojihusisha na masuala ya kilimo na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania kupitia huduma yake ya kilimo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Zaidi ya vijana 1000 wapata mafunzo bora ya Kilimo

Maneja wa Mradi wa Kilimo Klabu wa Vodacom Tanzania, Frank Madebwe(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa Semina ya Vijana iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam iliyohusu masuala ya Kilimo na biashara ”Youth and Agriculture” iliyoandaliwa na mashirika mbalimbali yanayojihusisha na masuala ya kilimo na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania kupitia huduma yake ya kilimo klabu,Kushoto ni Doris Chaula na Faraja Alex ambao ni washiriki wa semina...

 

10 years ago

Vijimambo

VIJANA 181 WA CCM MBEYA VIJIJINI WAPATIWA MAFUNZO.

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mbeya, Aman Kajuna akiwa meza kuu pamoja na viongozi wengine Katibu wa UVCCM Wilaya ya Mbeya vijijini Japhet Siulanga aitoa taarifa ya mafunzo. Mwenyekiti wa UVCCM, Wilaya ya Mbeya vijijini Msafiri Mwashambwa akimkaribisha mgeni rasmi kuzungumza na washiriki wa mafunzo. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Mbeya Aman Kajuna akizungumza na vijana waliomaliza mafunzo. Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Mbeya vijijini, Ipyana Seme akizungumza jambo.Mwenyekiti wa Vijana...

 

5 years ago

Michuzi

VIJANA WATAKIWA KUTUMIA UJUZI WA MAFUNZO YA KILIMO CHA KISASA KUJIKWAMUA KIUCHUMI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akieleza jambo alipokuwa akikagua kitalu nyumba kilichopo Nangara, Mkoani Babati. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Manyara Bi. Elizabeth Kitundu.

Baadhi ya vijana wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipowatembelea vijana hao kukagua maendeleo ya mafunzo...

 

10 years ago

Habarileo

Vijana zaidi kufadhiliwa mafunzo ya gesi

SERIKALI imesema kuwa itaendelea na juhudi zake za kudhamini vijana kupata elimu ya mafuta na gesi wakidhi soko la ajira miaka ijayo.

 

10 years ago

Michuzi

Chuo Kikuu cha Uhio chaendesha mafunzo kwa vijana kuwa viongozi bora

Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Chuo Kikuu cha Uhio nchini Marekani kinaendesha mafunzo kwa vijana ya kuwa viongozi bora katika nchi zilizopo katika jangwa la Sahara.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Katibu wa Kwanza wa Mawasiliano ya Umma wa Ubalozi wa Marekani nchini,Marissa Maurer amesema kuwa program ya kutoa mafunzo kwa viongozi vijana imaeazishwa na Chuo Kikuu Cha Uhio nchini Marekani  ambapo fedha inayoendesha mafunzo ni ya serikali ya watu Marekani...

 

11 years ago

Michuzi

Ofisi ya Makamu wa Rais yatoa mafunzo kwa vijana jinsi ya kutumia njia bora za kuhudumia Majokofu na Viyoyozi

Kundi la washiriki kutoka mkoa wa Dar es Salaam wakielekezana jinsi ya kutumia vifaa rafiki ya kuhudumia Majokofu na Viyoyozi siku ya pili ya mafunzo jijini Dar es Salaam. Sehemu ya wakufunzi kutoka vyuo vya ufundi Mbeya, Mwanza na Mkunazini – Zanzibar wakijifunza kwa vitendo jinsi ya kutumia njia rafiki ya kuhudumia majokofu na viyoyozi bila ya kuharibu tabaka la Ozoni. Picha na Rashda Swedi.

 

11 years ago

Michuzi

WAPATIWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI

 Naibu meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Gervas Ndaki akizungumza jambo wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika hivi karibu katika ukumbi wa Hallfare na kudhaminiwa na kampuni ya Vannedrick ya jijini Dar es salaam kwa kushirikiana asasi isiyo ya kiserikali ya TCDA.  Fredrick Mwakalebela akizungumza jambo wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika hivi karibu katika ukumbi wa Hallfare na kudhaminiwa na kampuni ya Vannedrick ya jijini Dar es salaam kwa kushirikiana asasi isiyo ya kiserikali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wapatiwa mafunzo kutatua migogoro

SERIKALI wilayani Mkuranga, Pwani, imeombwa kutoa elimu ya sehemu sahihi ya kufikisha migogoro ya ardhi na namna ya kuitatua, ili kupunguza wimbi la migogoro hiyo. Ombi hilo lilitolewa mwishoni mwa...

 

10 years ago

Vijimambo

WANDISHI WA HABARI MBEYA WAPATIWA MAFUNZO

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Profesa Norman Sigallah, akifungua mafunzo ya Utekelezaji wa adhabu mbadala kwa wafungwa kwa Waandishi wa habari wa Mkoa wa Mbeya yaliyotolewa na Wizara ya Mambo ya ndani katika Hoteli ya Gr Soweto jijini Mbeya.Mkurugenzi msaidizi wa Idara ya Probesheni na huduma kwa jamii, Charles Nsanze, akimkaribisha mgeni rasmiWaandishi wa habari wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi katika ufunguzi wa mafunzo juu ya adhabu mbadala kwa wafungwaKwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani