Paras India yaonesha nia kuwekeza afya nchini
UJUMBE wa uongozi wa juu wa Shirika la Afya la Paras la nchini India linalomiliki hospitali za ngazi ya kimataifa, umewasili jijini Dar es Salaam jana ambapo pamoja na mambo mengine umeanza mchakato kuwekeza katika sekta ya afya. Ujumbe huo ukiongozwa na Naibu Meneja wa Hospitali hizo anayehusika na Uhusiano wa Kimataifa, Anuradha Sharma, ulipokelewa na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Yono Auction Mart ambaye ni Mbunge wa zamani wa Njombe Magharibi, Yono Kevela.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Kamouni ya Huawei yaonesha nia kuwekeza mradi wa umeme jua zanzibar
11 years ago
GPL
WACHINA WAONESHA NIA KUWEKEZA SEKTA YA MADINI
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
PHILEMON NDESAMBURO: Watanzania wana nia kuwekeza kwenye gesi
HIVI karibuni viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walianza ziara katika mikoa ya Kigoma, Mwanza, Tabora na Singida, lengo likiwa ni kukiimarisha chama. Mbali na mikutano hiyo ya...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Mapambano dhidi ya Ujangili nchini yaonesha mafanikio makubwa
.jpg)
11 years ago
Mwananchi03 Feb
AKDN kuwekeza trilioni elimu, afya
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Zanzibar, India zatiliana saini mkataba wa uwakala wa utangazaji Utalii wa ZNZ nchini India
Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JIHIL ENTERPRISES ya India Nd. Jilesh H. Babla wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya kuanzishwa kwa ofisi ya uwakala wa Utangazaji Utalii wa Zanzibar Nchini India. (Picha na Makame Mshenga Maelezo-Zanzibar).
Na Abdulla Ali Maelezo-Zanzibar
Wizara ya...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, atembelea kampuni ya Nyumba ya NAKHEEL yenye nia ya kuwekeza Tanzania
.jpg)
Baadhi ya miradi iliyosimamiwa na kampuni hiyo ni pamoja na The Palm Dubai (the largest island Palm City in the World), Nakheel Mall, Dragon Mart na baadhi ya hotel za nyota tano Jijini Dubai.
Kufuatia mazungumzo kati ya Mhe. Mjenga na Bw. Rashid Lootah, mwenyekiti wa NAKHEEL,...
10 years ago
Tanzania Daima15 Nov
Pinda ataka sekta binafsi kuwekeza masuala ya afya
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amewataka wataalamu wa afya kuangalia namna Sekta binafsi zinaweza kuwekeza katika masuala ya afya ili kuisaidia serikali katika kusimamia na kuendesha shughuli za utoaji huduma ambazo...
5 years ago
Michuzi
Wanarukwa Wahamasishwa, Kujali na Kuwekeza Katika Afya Ili Kutimiza Malengo Yao

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (waliokaa Katikati) katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Dini na Serikali pamoja na Watumishi wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).

