Wanarukwa Wahamasishwa, Kujali na Kuwekeza Katika Afya Ili Kutimiza Malengo Yao

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (waliokaa Katikati) katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Dini na Serikali pamoja na Watumishi wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).Meneja wa NHIF, Dkt. Janet Pinda akitoa elimu juu ya huduma ya vifurushi vya Bima ya Afya mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo pamoja na Wakurugenzi wa halmashauri, Wakuu wa Wilaya na Viongozi wa Dini.
Meneja wa NHIF, Dkt. Janet...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog21 Oct
Tanzania yajivunia kufikia malengo ya milenia katika afya, elimu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu wiki ya Umoja wa Mataifa inayotarajiwa kuanza kuadhimishwa Ijumaa wiki hii (kushoto) ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.
Na Mwandishi Wetu
KATIBU MKUU wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule amesema serikali ya Tanzania imefikia kwa...
11 years ago
Michuzi
Vijana wahamasishwa kutembelea vituo vya afya kujua afya zao


11 years ago
Habarileo02 May
RUBADA wahimizwa kutimiza malengo
WAJUMBE wa Bodi ya Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (Rubada), wamehimizwa kutimiza malengo yote waliyojiwekea katika muda wao wa miaka mitatu kwa kuongeza ufanisi zaidi wa mamlaka hiyo.
11 years ago
Habarileo30 Aug
Shein asifiwa kutimiza malengo ya milenia
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imesema Serikali ya Zanzibar inayoongozwa na Rais Dk Ali Mohamed Shein imeyafikia malengo ya milenia kutokana na utendaji wake wa ufanisi, kama tamko hilo lilivyoazimiwa na Umoja wa Mataifa.
9 years ago
Mwananchi22 Nov
Tumsaidie Dk Magufuli kutimiza malengo haya
11 years ago
GPL
NJIA BORA YA KUTIMIZA MALENGO YALIYOKWAMA MWAKA 2013 - 2
10 years ago
Mwananchi08 Jun
MAONI: Umisseta itumike kikamilifu kutimiza malengo yaliyokusudiwa
10 years ago
Dewji Blog03 Dec
Uwezo wa vyuo vikuu kuchukua wanafunzi wa sayansi bado changamoto kwa Tanzania kutimiza malengo ya EFA
Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi nchini Tanzania Mh. Dkt. Shukuru Kawambwa akifungua mkutano wa kimataifa wa kutathmini mafanikio na changamoto za utekelezaji wa malengo ya Mpango wa Kimataifa wa Elimu kwa Wote-EFA uliofanyika jijini Dar Es Salaam ambapo amesema tangu mwaka 2000 Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuelekea kutimiza malengo ya Mpango huo ikiwa ni utashi wa kisiasa na kuwajibika vikisaidiwa na kujitolea kwa wadau wa sekta ya elimu pamoja na washirika wa maendeleo.(Picha...
10 years ago
GPL
UWEZO WA VYUO VIKUU KUCHUKUA WANAFUNZI WA SAYANSI BADO CHANGAMOTO KWA TANZANIA KUTIMIZA MALENGO YA EFA