Shein asifiwa kutimiza malengo ya milenia
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imesema Serikali ya Zanzibar inayoongozwa na Rais Dk Ali Mohamed Shein imeyafikia malengo ya milenia kutokana na utendaji wake wa ufanisi, kama tamko hilo lilivyoazimiwa na Umoja wa Mataifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Malengo ya Milenia:TZ
11 years ago
Habarileo09 Jan
SMZ yavuka malengo ya milenia
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar tayari imesema imefanikiwa kuyafikia Malengo ya Milenia ya kuimarisha na kusambaza huduma za Elimu hadi vijijini ambapo kwa sasa hakuna mwanafunzi anayetembea kilomita nne kutafuta elimu.
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Wadau wakosoa Malengo ya Milenia
11 years ago
Habarileo30 May
JK ataka Malengo ya Milenia kuendelea kutekelezwa
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha kuwa Malengo ya Milenia yanatekelezwa kwa ukamilifu hata baada ya kuisha muda uliowekwa wa kuyatimiza, kabla ya kuweka malengo mengine duniani.
11 years ago
Mwananchi12 Jul
Tanzania yajivunia utekelezaji malengo ya milenia
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Tanzania yashindwa kufikia malengo ya milenia
10 years ago
Habarileo10 Oct
Ulemavu wa kutoona waathiri Malengo ya Milenia
SERIKALI imesema ulemavu wa kutokuona unaathiri juhudi zinazosaidia kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo ya Milenia likiwemo la kuondoa umasikini uliokithiri.
11 years ago
Mwananchi08 Mar
SIKU YA WANAWAKE: Malengo ya milenia yamefikiwa?
11 years ago
Michuzi20 Feb
Tanzania yakaza mwendo kufanikisha malengo ya milenia
![Balozi-Mero](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/-WxKJ9gy-K9SQX7dus0lEirVKGXyOfQ47P-fhuLsldqlbwSSLfNR5lw2nbv9TxQplT3LiZjBjBrjPDpifx_4LSpiTVQo7k6aDeakaDdE8784Or-_5HnUnVTFhETwtX7zmBVAT4_SmyzZLnLanVtuLunKxG13=s0-d-e1-ft#http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/wp-content/uploads/2014/02/Balozi-Mero-300x2141.jpg)
Wakati zikiwa zimesalia siku zisizozidi elfu moja kufikia kikomo cha utekelezaji wa malengo ya maendeleo ya milenia mwaka 2015 mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa mjini Geneva balozi Modest Jonathan Mero amesema sekta ya afya inahitaji msukumo zaidi katika kutekeleza malengo hayo. Katika mahojiano maalum na idhaa hii Balozi Mero ambaye hivi karibuni alikutana na Mkuu wa shirika la afya duniani Magreth Chan,...